Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
09 September, 2011
08 September, 2011
ANASEMA MUACHE KUMCHAFUA!!!
HII BADO NI CHANGAMOTO KUBWA KWA SERIKALI
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Daniel Ole Njoolay akikabidhi ambulansi ya "kisasa" aina ya bajaj kwa mkuu wa wilaya ya Mpanda, Dk Rajab Rutengwe (kushoto). Ambulansi za miguu mitatu zimesambazwa na serikali kusaidia kutoa huduma za afya vijijini ambapo mkoa wa Rukwa utapokea miguu hii mitatu 20. Picha na Hamza Temba!!!
Maswali:
>>Je huyo mgonjwa atapataje huduma ya kwanza?
>>Je dereva atakua daktari/muuguzi ama?
>>Je kwa barabara tulizo nazo hii miguu mitatu inakidhi kiwango?
Maoni:
>>Serikali tunashukuru kwa kutoa huduma ambayo ni tatizo sehemu nyingi Tanzania lakini hii haikidhi mahitaji kwa karne hii ya 21 bila kusahau miundombinu yetu ambayo bado sio mizuri sehemu nyingi.
>>Ni bora zinunuliwe gari hata za kawaida (kama lengo ni kubana matumizi of which sina hakika kama hizo bajaji ni bei ndogo!) japo kufikisha mgonjwa hospitali ila sio pikipiki kwani ni rahisi mgonjwa kudhurika na jua,mvua (utelezi wa barabara kipindi cha masika), vumbi,au hata ajali kwani ni rahisi kupata ajali kwa pikipiki kuliko gari.
>>Kununua pikipiki kama nyenzo ya kusafirishia wagonjwa wakati wewe unatembelea Landcruiser V8 (4.7Litre posh and expensive) hakuleti picha nzuri kwa wapiga kura na walipa kodi kwa ujumla au kwa maneno mengine serikali haijali wananchi ambao wameipa ridhaa ya kuwatumikia kwani hata
matunda ya kodi zao hayaridhishi!
Free Thinking aka Mpayukaji naye katoa maoni yake kuhusiana na changamoto hii yasome HAPA
matunda ya kodi zao hayaridhishi!
Free Thinking aka Mpayukaji naye katoa maoni yake kuhusiana na changamoto hii yasome HAPA
TMK CHEGGE & TEMBA NDANI YA COVENTRY KESHO IJUMAA
Ijumaa hii ya tarehe 09/09/2011 wapenzi wa TMK watakua wanapata burudani ya nguvu toka kwa Chegge
& Temba hapa |Coventry.Wale tusio penda stress basi tukanyooshe mkono mmoja juu pale PALMS BAR, Address ni 116 FAR GOSFORD CV1 5EA.Tuonane huko!!
Tukaweke mkono mmoja kama hivi!!
07 September, 2011
RAFIKI ZANGU WAKUMBANA NA FRAUD!!!!
Wanasema kuuliza sio ujinga na ni kweli rafiki zangu wawili wakumbana na michezo ya wizi mitandaoni lakini wakaamua kuuliza baada ya kupata wasiwasi na kushinda pound kibao na wakati huo huo kutakiwa kutoa kiasi kidogo cha pesa ili wapewe pesa wanazo dai wameshinda.Sasa mie najuuliza kama nimeshinda kweli si wapunguze zile ambazo nimeshinda na zilizo baki wanipe kwanini wanataka niongeze pesa? well tujiunge na kisa hapa chini
Mdau wa kwanza:
To: rijaki@ymail.com
Sent: Sunday, 4 September 2011, 14:51
Leo nimepata email toka huko uingereza kwa mtu aliyejitambulisha kama Angelina Keith mwenye umri wa miaka 87 ambaye mumewe alikufa kwenye ajali ya ndege. Kwa kuwa walikuwa na uwezo sana basi sasa anadai ameamua kuishi katika ranch yao na karibu asilimia 30 ya mali zake amegawia charity mbalimbali na kiasi kingine ameandikia check kwangu na kuiacha DHL london kwa lengo la kutuma huku. katoa jina, namba ya simu na namba ya siri ya bahasha (brown envelope) yenye hiyo check nikatuma email kwa hao DHL wakasema ni kweli kuna hiyo bahasha ninachotakiwa ni kupeleka taarifa zangu kama jina, anuani namba siri na kisha nitatakiwa kulipia security fee pound 160 kisha wataleta.
Nimeona kama vile hata wazungu wanaweza kuwa matapeli hebu niambie aina hii ya wizi ipoje hapo Uingereza. maana nimepiga simu yamepokea na kufuatilia kisha yakajibu lakini nimeona haiji akilini.....................Nikamshauri aachane mara moja na hao wezi mitandaoni kama haitoshi mdau huyu akataka kujua zaidi kwa kufuatilia DHL ndipo akabaini mchezo huo wa wizi na akanijibu......
>>>kweli bwana majamaa haya ni majizi inavyonesha maana yanajifanya yanafanya kazi DHL Express lakini nimefungua mtandao wa DHL sijaona namba za simu yenyewe yanapiga simu karibu kila siku kuulizia nimelipa na kama nimelipa ni scan risiti ya malipo nitume kwa mtandao haraka.
Mdau wa pili:
Huyu alianza na kuuliza: sorry,eti unafahamu mashindano ya iphone mobile promo,mama yangu katumiwa meseji ya kushinda unaweza kunichunguzia maana isije ikawa matapeli,naomba
uniulizie,kama ni kweli
*Nikaomba kupata maelezo aliyopata kwenye ujumbe nayo ni:-
message imetoka iphone mobile promo UK, iliandikwa kuwa your cell phone number has won 715000 pounds from I- PHONE-UK,for claims of prize wakatutumia email iphoneclaims @gmail.com.ss tulivyo watumia meseji ya kupata huo ushindi waka tutumia verification form ambayo tulijaza jina la mama,namba ya cm ya ushindi anuani,network name ,maana wanasema ni mashindano ya kwanza yaliyo tumia automated ramdom computer kwa kutumia namba za simu,sasa walipotoa option ya kupata pesa kuna ya kufuata huko london hadi adress wametoa,au njia ya ndege ambayo ni cheki au kutumia bank ya western union .sisi tuliomba watumie njia ya barclays ,wametutumia form ya barclays lkn ukitumia njia hiyo wanatuma kama dollars.na mtu ambaye amepewa jukumu hilo ni stephen elop na namba za simu wametoa ambazo ni+4915118186861
naomba unitafitie maana wametoa hadi Adress zao za hapo london na iko under BRITISH LAW.
**Ndugu wasomaji hizi ni fraud (kudanganya ili kupata pesa) na nime post nyingi sana katika blog hii.Wanaweza kukupata kwa njia ya simu,email au hata barua kwa njia ya posta kwa hio ukipata ujumbe kama huo si vibaya kuuliza au kuupotezea ukifanya kimya kimya basi jiandae kulia kilio cha samaki!!.Dar es salaam na sehemu nyingine watu wameibiwa eti mtu anakuambia ananunua paka mweusi kwa MILLION 2 hivi mtu huwezi shituka kama ni wizi unataka kufanyika?.Kiufupi nimefurahishwa na hawa ambao wameuliza na nimesha wajibu huu ni wizi tu wa mitandaoni waachane nao**
Kwa habari zaidi kuhusu fraud bonyeza HAPA, HAPA, HAPA HAPA NA HAPA

Tuesday, 6 September 2011, 10:01

05 September, 2011
NI AJABU LAKINI KWELI.. MAHUBIRI YA KUIKATAA CCM
HUYU PASTOR/MCHUNGAJI KATOA MAANA YA CCM KAMA CHAMA CHA MAJAMBAZI, KAMA HAITOSHI AZIDI KUKIBOMOA CHAMA HICHO KWA KUSEMA MUNGU HATAKI CCM,SWALI JE ANAPENDA CHADEMA,NCCR AU CUF??.SIKUMBUKI KUSOMA SEHEMU INAYOSEMA KANISANI/MSIKITINI WATU WANAENDA KUJIFUNZA SIASA ZAIDI YA KUFANYA IBADA AU KUSWALI!!
JE WEWE HUA UNAENDA KANISANI/MSIKITINI KUFANYA NINI??
HUYU KWA MTAZAMO TU HANA TOFAUTI NA HUYU
NA KWA HAKIKA ANGEKUA CCM NI HUYU HUYU ANGETUAMBIA MUNGU ANAPENDA CCM.UKISIKILIZA DAKIKA YA 1:37 ANASEMA ''Slaa iko mikononi mwako itumie vizuri kura yako'' MPAKA HAPO MPENZI MSOMAJI UTAJUA YEYE CHAMA GANI NA BILA SHAKA HICHO NDIO ATASEMA MUNGU ANAKIPENDA!!
JE WEWE HUA UNAENDA KANISANI/MSIKITINI KUFANYA NINI??
NA KWA HAKIKA ANGEKUA CCM NI HUYU HUYU ANGETUAMBIA MUNGU ANAPENDA CCM.UKISIKILIZA DAKIKA YA 1:37 ANASEMA ''Slaa iko mikononi mwako itumie vizuri kura yako'' MPAKA HAPO MPENZI MSOMAJI UTAJUA YEYE CHAMA GANI NA BILA SHAKA HICHO NDIO ATASEMA MUNGU ANAKIPENDA!!
TOYOTA LANDCRUISER VX YA 2011
Kampuni ya Toyota inazidi kuwafurahisha wateja wake kwa kuzidi kutoa gari nzuri 4x4 kama Landcruiser VX Toyota Rav4 na nyingine nyingi.Kwakua hii ndio kazi yangu usisite kuniagiza nikutafutie gari (kwa anaye taka gari toka UK aina yoyote mfano Jaguar,Toyota,Range Rover,Suzuki,Scania, Mercedes Benz,BMW n.k) kama nilivyosema kwenye blog hapo juu sambamba na 'dhumuni la blog' nimeona si vibaya kwa leo nilete japo picha za Landcruiser VX ya 2011 na ili uone muonekano wake na narudia tena ukitaka gari kutoka UK nipigie +447552621975 au niandikie via rijaki@ymail.com.Mwisho niseme asante kwa mlio toa ushirikiano tayari kupitia blog hii.
Mwonekano wa ndani sehemu ya mbele kwa dereva na dashboard
Kwa nje upande wa ubavu wa kushoto na nyuma
Mwonekano wa ndani sehemu ya mbele kwa dereva na dashboard
Kwa mbele na ubavu upande wa kulia kwa dereva
ETI 'VAT' MAANA YAKE VATICAN?????
Kipande hiki cha video kimeeleza mambo kadha wa kadha yenye wasiwasi kama sio upotoshaji eti VAT ambayo ni 'Value Added Tax (Kodi ya Ongezeko la thamani) kama 'Vatican' na watu wanaitikia? Mwl.Nyerere apondwa eti alikua kiungo muhimu wa makanisa na alifanya maisha kuwa magumu na mzee Ali H Mwinyi maarufu kama Mzee Ruksa afagiliwa.Sambamba na hayo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimedaiwa kuwa ni chama cha makafiri na kama yeyote aliye serikalini au CCM ngazi yeyote ana swali basi huyu jamaa yupo tayari kujibu.Aidha kanisa katoliki limetajwa kubomoa uislam(udini wa nini Tanzania?)
Kwa mengine mengi sikiliza hii clip ni ajabu na nimeshindwa kushangaa labda sijaelewa sikiliza na wewe mpenzi msomaji wa kibaraza hiki
01 September, 2011
30 August, 2011
EID MUBARAK WADAU WOTE POPOTE MLIPO
SINA MENGI KWA LEO NIWATAKIE TU EID NJEMA MSHEREKEE KWA UPENDO NA AMANI,MSISAHAU KUOMBEA WAGONJWA, KUSAIDIA WENYE SHIDA,MASIKINI,YATIMA WENYE NJAA N.K.KIBARAZA HIKI KINAWATAKIA KUSHEREKEA VYEMA MWISHO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
29 August, 2011
MAANA HALISI YA VIJISENTI HII HAPA
Kama hii ni kweli basi mtu yeyote ambaye amewahi sikia kuhusu ''vijisenti'' angekubali kua kauli hio ilikuwa na ukweli ndani yake!!Kwa habari zaidi kuhusu vijisenti SOMA HAPA.
25 August, 2011
21 August, 2011
KUTOKA LIBYA:WAASI WAINGIA MJI MKUU TRIPOLI
Habari zilizojiri kutoka Libya zinasema mapigano makali yatikisa mji mkuu Tripoli kati ya waasi na wanajeshi wa serikali nchini humo.Watu zaidi ya 1000 wadaiwa kufa na wengine 5000 kuumia vibaya.Katika mapigano hayo makali yaliyozuka mida ya saa asubuhi leo waasi nchini Libya wamedai kumteka mtoto wa Gaddafi Saif Al-Islam. Kwa habari zaidi soma HAPA
20 August, 2011
19 August, 2011
HABARI NJEMA ZA SCHOLARSHIP UGHAIBUNI
Kama ilivyo ada kutoa habari mbalimbali zinazo husu scholarship leo nimeona nilete link ambazo zinaendana na mambo kama hayo.Zisome hizo link kwani nina imani zitakua na msaada kwa namna moja ama nyingine iwe kwako,nduguyo au rafiki yako.Hata hivyo ukipata habari kama hii si vibaya kumpa na mwenzio hivyo ndivyo tunaweza sambaza taarifa hii mpaka kwa wahitaji.
Soma hii kuhusu scholarship kupitia Michuzi blog kwa KUBOFYA HAPA
Pata habari za scholarship kwa kujiunga mjadala kwa KUBOFYA HAPA
Habari muhimu za scholarship bonyeza HAPA na HAPA
Soma zaidi habari za scholarship HAPA
Kuwa makini na utapeli wa scholarship SOMA HAPA

17 August, 2011
SCHOLARSHIP KWA WATANZANIA SHEFFIELD UNIVERSITY-UK
Wadau mnaotafuta scholarship nimepita The habari leo ambao unaweza kuwasoma HAPA kwamba chuo cha Sheffield kinatoa Scholarship kwa wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga na Chuo hicho Septemba, 2011. Kwahio changamkieni hio muda ndio huo ushayoyoma
Ukitaka maelezo zaidi, fika ofisi za wawakilishi wa Chuo hicho waliopo Tanzania kwa anuani ifuatayo:
Wawakilishi Tanzania
Wawakilishi maalum wa Chuo cha Sheffield Tanzania ni:
Uniserv Tanzania
Haidery Plaza, 1st Floor
A. H. Mwinyi Road/Kisutu Street.
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 0(22) 2129036
Mobile: +255 787 019037 or +255 787 019047.
Fax: +255 0(22) 2129037
Haidery Plaza, 1st Floor
A. H. Mwinyi Road/Kisutu Street.
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 0(22) 2129036
Mobile: +255 787 019037 or +255 787 019047.
Fax: +255 0(22) 2129037
email : tz@uniserveducation.com
Kwa habari zaidi toka chuo cha Sheffield wenyewe BONYEZA HAPA
Aidha kujua zaidi kuhusu scholarship za Uingereza na maisha kwa ujumla tembelea British Council kwa ku BONYEZA HAPA
Au wasiliana nao kwa anuani ifuatayo.
| Samora Avenue / Ohio Street P.O BOX 9100 Dar es Salaam,Tanzania Simu:+255 (0) 22 2165300 Fax: +255 (0) 22 2112669/2116577 |
16 August, 2011
TUNES OF THE WEEK (BONGO FLAVA)
Hii leo ndio list yangu ya Miziki mizuri ya Tanzania (Bongo flava) ikiongozwa na AY ft Lil Romeo,Lamyia.Hizi ni baadhi ya nyimbo bora za wasanii wetu siunajua mcheza kwao hutuzwa basi unaweza sikiliza kwa kubonyeza moja baada ya nyingine .Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa.
HIVI KWELI MAPENZI SUMU?
Kwa wale ambao wamekwisha chukua maamuzi magumu ya kuoa hasa miaka yasasa wanaweza kua na majibu sahihi ya hili swali.Lakini pia katika harusi zote nilizo hudhuria hua sikosi kusikia ''MKAVUMILIANE NA KUHESHIMIANA'' hivi vitu viwili vikikosekana lazima ndoa iyumbe kwa namna moja ama nyingine.Hata hivyo ndoa sasa hivi hazidumu je tukubali kua mapenzi ni sumu?.Kimtazamo kama usemi huu una ukweli kwa asilimia kubwa basi ishakua balaa!!
Mie nilikua nadhani ukiwa na mpenzi (Mke/Mme) basi ni raha kumbe inaweza kua kinyume chake.Na kwakua sasahivi ndio wanaita muda wa haki sawa,kwenda na wakati basi talaka ndio nje nje tujiulize kwanini?.Mbali na hio vijana sasahivi wanachelewa kuoa/kuolewa je tatizo ni nini?? Wengine wanasema ndoa ndoano je hii ni sababu ya ambao hawajaoa kutooa mapema?
Ni lazima kuheshimiana na kusikilizana kwa wapenzi/wanandoa (kama mnataka kufurahia).Mambo uliyofanya ukiwa pekee yako lazima uangalie kama yana mchango mzuri katika mahusiano kama sivyo basi achana nayo.Imekua utaratibu sasa hivi wapenzi kusema wanataka uhuru unakuta mtu kaoa/kaolewa na bado ana mawasiliano ya karibu na mpenzi wa zamani ya nini hasa?
Hii tabia sio nzuri ndo mwanzo wa kupokelea simu chooni,kuzima simu ukiwa na wako,kuweka silent na kuwekeana password ambazo huongeza maswali ni je unaficha nini?? Mambo ya vidumu mpaka lini na magonjwa yaliyozagaa?? Nadhani hii ni moja ya sumu ya mapenzi, na kwanini tusiite mapenzi raha/matamu na maneno kama hayo kwa kuepuka hizo sumu ambazo ziko wazi?
MUWEKEZAJI AKIONA MANENO HAYA LAZIMA AKIMBIE SANA.
Kipengele cha hakuna serikali (No Government) siamini labda tuseme haijawajibika katika baadhi ya mambo.
13 August, 2011
KUCHEKA NI.....................................???
Matatizo ya umeme na Orijino komedi
12 August, 2011
...............NEW GADDAFI IN TOWN!!!!!!
Gaddafi Chameleone (LOL)
Msanii nguli wa miondoko ya ragga nchini Uganda bwana Joseph Mayanja aka Jose Chameleon ambaye pia anajiita dactari wa muziki abadili dini yake Catholic na kua Muislam.Mwanamziki huyu ambaye miaka michache iliyopita alioa na kufunga harusi katika dini ya kikristo na hata kuokoka (SOMA HAPA) amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya uamuzi wake huo wa ghafla.Gaddafi Chameleone akifuatilia maelezo
Leo Ijumaa ya tarehe 12/08/2011 Chameleone ambaye jina lake kwasasa ni Gaddafi Chameleon ameonekana msikiti wa Kibuli akihudhuria swala ya Ijumaa.Hivi Gaddafi ni jina la kiislam?? Anayejua atujulishe!
Zaidi soma HAPA
KWELI USWAHILINI KUNA VITUKO!!!
1:07
1:32
2:23
3:50
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI VURUGU ZA UK
Usemi huo hapo juu naufananisha na ule wimbo wa Twanga 'mtaji wa masikini nguvu zake mwenyewe' ambao majambazi bongo waliwaimbisha abiria wa mabasi/magari yaliyo tekwa huku wakisachiwa walivyo navyo.
Duka likiwa limevunjwa kioo,wenye maduka pia watalipwa fidia
Aidha uruke toka juu gorofani au ufe kwa moto dada aliona kuruka ni bora
Polisi wakiwa wanaangalia kinacho endelea na wananchi wenye hasira kali
Jamaa wakiwa tayari kwa vurugu na kubeba kinacho bebeka.Kama unavyowanona wameficha sura nchi hii ni moja wapo ya nchi zenye CCTV camera nyingi duniani kwahi ukifanya kosa ni rahisi kukukamata.Lakini hapo CCTV haina ujanja!
Baba wa kijana miongoni mwa wale vijana watatu waliouwawa katika vurugu jijini Birmingham akiongea kwa uchungu kufuatia kifo cha mwanae ambaye inasemekana alikua akiokoa majirani waliokua wamevamiwa katika vurugu hizo hadi mauti yalimpomfika.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
11 August, 2011
TANZANIA BILA UMEME/MAFUTA INAWEZEKANA??
Ilikua.........................
Heshima ikajengeka mjini na salamu zikatolewa kama hivi.........
Ghafla bin vuuu mara...........
Vidumu ndio mpango duh kweli Bongo Raha! hapo bado adha ya umeme,maji safi,foleni,stress binafsi n.k
Wauza wese nao wataka heshima!! sijui wanataka salamu kama hio ya Tanesco?.Hakika hivyo vituo vya mafuta vingekua tu huku kwenye vurugu zilizo anza baada ya mtu mmoja tu kuuawa basi zingebaki historia,magofu ama kuchukuliwa mafuta yao kwa nguvu tena bure 'yaani take now don't pay later' kama ambavyo tutaona matukio zaidi yaliyo jiri hapa UK.Watu wamechoka na blah blah wakati maisha magumu.Siombei tufikie huko lakini huenda ndiko tunako elekea bila kujijua. Je viongozi wetu wanaliona hili? au wao haiwahusu? Nauliza tu!
09 August, 2011
VURUGU ZA LONDON ZASAMBAA MIJI MINGINE
Kumezuka vurugu jijini London Uingereza baada ya raia mmoja kupigwa risasi na polisi.Vurugu hizo zilizuka baada ya polisi kuzuia maandamano ya amani na kuhoji kwanini raia Mark Duggan (29) aliuawa na polisi kwa kupigwa risasi? Tukio hilo lilitokea Tottenham Alhamis Tar 04 na Jumamosi ya tarehe 06/08/2011 ndipo vurugu zilipozuka eneo hilo na kusambaa miji kadhaa hapa England.
Mark Duggan,29 wakati wa uhai wake
Hali hiyo ya vurugu imeingia kwa kasi miji mingine kama Birmingham,Liverpool,Manchester na Bristol.Ukiachia mbali huyu jamaa kuwa chanzo maisha magumu,ukosefu wa ajira unaozidi kukua na ubaguzi wa rangi vimetajwa kuchangia vurugu kuungwa mkono kwa kasi.Waziri mkuu David Cameron aliyekua mapumzikoni Italy amelazimika kurudi kwani hali ni tete.Jana 08/08/2011 Birmingham palikua hapatoshi.
Polisi ambao walizidiwa nguvu wakiwa wanaangalia kinacho endelea kama kideo!
maduka,magari yalichomwa moto
Mtaani kulikua kama hivi
Jamaa wenye mask wakiiba dukani na kuvunja ATM machine na kuiba Pound!
Picha zote toka Aljazeera na BBC
Kwa habari zaidi soma HAPA na HAPA
WANAWAKE WADAIWA KUBAKA WANAUME!!!
Huko kwa Mugabe nchini zimbabwe kuna tuhuma za wanawake kuwabaka wanaume kwa makusudi .Ubakaji huo umedaiwa kukua siku hadi siku kwani kwasasa ni kila wiki lazima mwanaume abakwe!.Mkuu wa polisi jijini Harare Angeline Guvamombe amesema “ wanawake wanao endesha magari ya kifahari huwapa wanaume lifti na kuwapulizia maji maji usoni yanayowafanya wasinzie na baadae kulazimisha kufanya nao mapenzi'' Kwa mujibu wa the Herald wiki mbili zilizo pita wanaume wawili walitekwa na kulazimishwa kufanya nao mapenzi chini ya usimamizi wa bunduki. Wakati katika tukio lingine wanawake watatu walimteka mwanaume wa miaka 30 na kumlazimisha kufanya nae mapenzi kwa siku 5!!.
Cha ajabu tangu ubakaji huo kuanza hakuna mtu amekamatwa kwa kosa hilo na polisi wamesema wanawake hawawezi shitakiwa kubaka kwani sheria ya Zimbabwe haitambui kama mwanamke anaweza mbaka mwanaume na hivyo mwanamke anayebaka anaweza shitakiwa tu kwa kumvamia mwanaume kwa nguvu (assault) na kupata adhabu ndogo ikilinganishwa na ile ya mwanaume kubaka.
Hii ni changamoto katika nyanja ya sheria kwani mabadiriko ya wakati yamebadirisha mfumo wa mahitaji.Je kwetu Tanzania hali ikoje katika maswala haya? Wanasheria tuambieni ili tujue mie nikibakwa nijue kama haki yangu ipo ama laa kwani kwa mpango huu hakika wanaume watakua hatarini kuambukizwa magonjwa ya zinaa bila kupenda!

Kwa habari zaidi soma: HAPA
07 August, 2011
WALIO MUUA OSAMA NAO WAUWAWA!
Habari zilizojiri ni kwamba Helicopter ya NATO aina ya Chinook iliyobeba kikosi maalum cha wanajeshi wa kimarekani zaidi ya 20 imetunguliwa na kuua watu wote huko Wardak,Afghanistan.Walio kufa katika shambulizi hilo ni pamoja na wale wanao sadikika kufanikisha kumuua Osama Bin Laden .Kundi la waasi la Taliban limekiri kuhusika na mauaji hayo. Wakati huohuo Rais wa Afghanistani Hamid Karzai ametoa salamu za rambirambi NATO kufuatia ajali iliyo gharimu roho za watu 31 wa kikosi maalum toka Marekani na 7 kutoka Jeshi la nchi hio
Helicopter iliyotunguliwa na Taliban
Kwa habari zaidi soma HAPA na HAPA
Helicopter iliyotunguliwa na Taliban
Kwa habari zaidi soma HAPA na HAPA
ATI ALIZALIWA NA PHD??
Big up Said Michael umetisha japo nina swali moja tu dogo la msingi.Je haya ndio matumizi halisi ya Phd au ni utani tu?.Kama hio ndio maana yake basi watanzania watakua na maswali mengi sana kwa wasomi walio katika nyadhifa mbalimbali je nini mchango wao kwa serikali na jamii kwa ujumla?
06 August, 2011
EQUALITY BEFORE THE LAW!!!!!!!!!!!?????
Huyu ndio jamaa anaye sadikika kua mwizi aliye vamia Bank CRDB kwa kutumia mawe na kudhibitiwa na Polisi wanaolinda Bank hio kama unavyo waona wakimpa mateke ya uso.Sina hakika huyu anaweza kuwa jambazi anavamia Bank kwa mawe wakati anaona SMG mbele yake.kweli bongo tambarare!!.Kwa akili ambayo haihitaji kwenda darasani kama mlinzi ana SMG basi jambazi angekua na machine gun sio mawe lakini polisi wetu kama kawa nguvu nyingi bila kupima uzito wa tatizo jamaa kadhibitiwa kama unavyoona!! Hii ni usawa wa sheria (Equality before the law) ya pekee kabisa Tanzania huwezi pata namna hii hata ulaya!!
Mateke ya uso ni bora kuliko kichapo cha wananchi wenye hasira kali....
Ati huyu ndio jambazi??!!! Nadhani watanzania wangefurahi kusikia huyu ni fisadi!
Kwa picha na habari zaidi soma HAPA
Subscribe to:
Posts (Atom)