02 October, 2014

Toyota Noah inauzwa!!!

Gari aina ya Toyota Noah Inaizwa bei nzuri. Ni Automatic, 2001 Model, Petrol, Silver, Sports Rims, plate no inaanzia C. Kwa maulizo,kununua, WhatsApp no 0789 316 316. Gari ipo dar. Zaidi unaweza angalia picha hapa chini.Bei nzuri sana!

                                          Kwa ndani mbele..
                        
                                                    Inavyoonekana kwa mbele
 
                                           

A UK BRAND NEW ORIGINAL LG TV FOR SALE!!

TV mpya toka UK inauzwa bei nzuri, ni LG flatscreen, 42 Inch, Black in colour na Guarantee ya miaka miwili au miezi 24.Free delivery and installation in Dar es  salaam.Kama upo mkoani utatumiwa kwa gharama zako baada ya kufanya malipo.Kununua piga/whatsApp 0655 22 25 23. Zaidi angalia picha hapa chini jinsi ilivyo.

                                          Ikiwa kwenye box lake

       
                                          Ikiwa nje ya Box lake

                                          Upana wa Tv, yaani kutoka kwenye screen mpk nyuma