24 September, 2015

WATU ZAIDI YA 700 WAHOFIWA KUFA HIJA MECCA LEO

 Watu zaidi ya 700  waliokua katika Hija huko Falme za kiarabu (Saudi Arabia) mji wa Mecca wahofiwa kufa mapema leo.Habari zilizojiri ni kwamba kulikua na mkusanyiko wa watu takribani Millioni mbili (2M) waliokua Hija. Mapema leo wakiwa wanaelekea eneo ambalo limetengwa maalum na hua wanaenda kurusha mawe kuashiria  kumpiga shetani. 

Wakiwa katika harakati za kufika eneo la tukio walijikuta  wanakutana na wimbi la watu waliokua wakielekea upande walikotoka. Hio ilisababisha kitu kama wimbi la kusukumana wengine kuanguka na kukanyagwa hadi kufa na wengine kukosa hewa. Zaidi SOMA HAPA

SOURCE:YAHOO NEWS Click here for details

MUHIMU SANA: MATAPELI WA KAZI KUPITIA SIMU YAKO..... SOMA NDANI

Fraud Related Alert to Job Seekers, Kindly be informed.The  message here-under is 100% fraudulent.If you scroll down from this very page there is a post of this nature.The difference is on names,mobile number,currency figures and company name but the content is exactly the same.This could be an opportunity to the Cyber Crime Act in charge personnel to do some follow up on these bandits. 

TEXT MSG from 0653 963 007 (Imesajiliwa kama-Ibrahim Ramadhani)

Hello, am Mr. Ibrahim from GLAPTONS LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia cv za kuinterview for HUMAN RESOURCE post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 2,400,000/=(take home) ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa laki 5 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma sh elfu 45 by tigopesa kwenda namba hiihii 0653 963 007 ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali nitakutumia leoleo kwenye email, ntakupigia simu nikitoka kikaoni.


NB: HAKIKISHA HAUIBIWI NA HAWA WATU WENGI WESHAIBIWA NA HAWA WATU. 

Aidha sitawajibika kwa lolote linalo husu defamation kama wametumia vibaya jina la kampuni GLAPTONS LTD ambayo haipo kwenye mtandao lakini imepost tangazo la kazi via "zoomtanzania". Lengo la post ni kuhabarisha watu wasiibiwe,wizi huu umethibitika!