15 October, 2012

ILANI INAPOKUA HAINA MAANA!!!!

Hivi maana ya matangazo kama haya ni nini? Je kuna maana yoyote kua na matangazo/ilani kama hizi ambazo hakuna mtu anaona ni muhimu ziheshimiwe?.Binafsi naona hakuna haja ya kua na ilani ambazo hakuna anayetii.Hii ni dalili au ushahidi tosha kua hii nchi ni ya wavunja sheria, hakuna anayejali.


07 October, 2012

TANGAZA BIASHARA YAKO KIMATAIFA BURE!!!


Ukitaka tangaza biashara yako bure mcheki mdau kama anavo eleza hapa chini
Website http://www.absolutelyawesomethings.com/   inayomilikiwa na kuandikwa na Mtanzania hapa Newyork inatoa offer kwa Mtanzania mahali popote alipo duniani kutangaza biashara/sanaa yake katika website hiyo. Matangazo yatawekwa kwenye website kwa muda wa mwezi mzima, kuanzia  leo tarehe 5/10/2012 mpaka 5/11/2012. Kama wewe ni Mtanzania  na

1. unaduka lililosajiliwa online na unapenda kuitangaza biashara yako au

2. una sanaa ambayo unaifanya mwenye ungependa

 kuitangaza kimataifa.
 wasiliana nami kwa email sophie@absolutelyawesomethings.com.
Hii ni  kutoa shukrani na vilevile kuwapromote wazawa kimataifa kwa juhudi zao wanazozifanya.