17 February, 2010

kazi nzuri wadau mnaonaje?

I really like the way this man does kwenye music industry, kwa yeyote ambaye ni mfuatiliaji mzuri wa Ali toka aanze music atakubaliana na mimi kwamba kijana ana hasira na mafanikio kupitia nyanja ya music na yuko siriaz katika hilo. Ofcoz music ni elimu na burudani ambavyo kwa uwezo wake kajitahidi kwa kiasi kikubwa. Binafsi among the songs that rocks me very well ni hii hapa ''Mali yangu'' yaani ni nice message, super video of all he has so to speak ''according to me''. Ana stahili sifa kama sio misifa the man himself Ali Kiba japo namshauri asilewe sifa ili libeneke liendelee kua hot. Congrats sana bro nadhani hii ni moja ya burudani watu wanategemea kupata liveeee ijumaa hii ya february 19 paleeeeeeeeeeeee Palms - Coventry City-UK. Tujiunge--->>>>>>>>>>>>>>>>
-----------------------------------------------------



Burudani yasogea Coventry na Ali Kiba this friday!!!

Nimekua nikidadisi sana watu wengi wamesikika wakisema Ali kiba hajawahi kufanya show Coventry kama ilivyo miji mingine ambayo hata uki-google unapata sehemu kibao ambazo Ali kafanya show in the UK  Mfano Reading, Leicester, London, Milton Keynes, Manchester, Bristol n.k. Kama zali this time wana cove watapata rubudani kem kem toka kwa kijana mahili kwa show za nguvu. Nasema show za nguvu kwani kuna wadau ambao katika ku-support libeneke hilo wameweza kuhudhuria  show zake karibu zote zilizofanyika miji mingine. Ni jambo jema kama watu tunakua wa zalendo japo kwa muziki toka nyumbani Tanzania japo kumekua na tetesi baadhi ya show walijaa wakenya! hehehe ni jambo zuri  though coz kijana anawakilisha East Africa na pengine ni kijana mdogo kuongoza kwa kufanya show nje ya Tanzania kimuziki maarufu kama bongo flava.Binafsi nimeshindwa kushangaa baada ya kuona hio advert ila ndo imekua wadau kazi kwenu na tuonane huko. Natumaini waliokua wakisema ana perform mbali na miji yao including coventry sasa hawatakua na sababu.