26 January, 2011

Maalumu kwa waheshimiwa wasomaji wangu..

Kwa mnao niulizia asanteni kwa kujali kwenu nipo mzima wa Afya baada ya kuumwa sana na flu kwa takribani mwezi mzima kuanzia katikati ya december ila sasa niko poa. Nitarejea very soon kama nilivyo wapa dedication hapo chini kupitia wimbo mzuri wa (Diamond-Nitarejea).
I hope you'll enjoy, thanks in advance for the great love and care that you have shown to me. God bless you all and happy blogging.

Heshima ya mtu mweusi kwa mzungu kwishney..

Hapa chini ni picha nimetumiwa na rafiki yangu nimecheka sina mbavu jinsi weusi tunavyo dharauliwa.I hope this is a joke na sio kweli lol.Kama ni kweli inabidi kuaandamana maana hata wazungu wezi sana tu.Kuna jirani yangu wamemuibia baiskeli japo kua mfano tofauti lakini ni wizi uleule.