10 September, 2010

Kimya changu....

Poleni wasomaji wa The Network/rijaki popote mlipo kwani nimekua kimya kwa muda mrefu lakini ni kutokana na kufiwa na baba yangu mzazi mnamo tar.3/9/2010.Kwahio ukimya huo umetokana na pilika hizo.Kwasasa niko Tanzania-Dar es salaam napatikana kwa simu 0658222523.Wanafunzi mnaotaka soma UK au wanaotaka magari toka UK mnaweza nicheki kwa simu hio kabla sijarudi UK.