24 August, 2010

Katuni ya leo

Hapa nani kashinda wadau hahahaha! Kama mambo yenyewe ndio haya gonjwa la UKIMWI tunalikaribisha nyumbani kwetu kwa nguvu zote na mwisho wa siku tuanze kuulizana nani kauleta.Ungejibu nini kama swali kama hilo linakutokea??

Tiger Woods na mkewe watarikiana rasmi..

Tiger Woods na mkewe waachana rasmi kutokana kilichodaiwa kukosa uaminifu kwa muda mrefu kwa bwana Tiger dhidi ya mkewe (Elin Nordegren) mwenye asili ya Sweden mapema jana. Katika maamuzi ya kuvunja ndoa hio katika mahakama ya Bay County Circuit Court huko Florida waliokua wanandoa na wazazi wa watoto wawili walikubaliana kulea watoto wao kwa pamoja.

Hata hivyo katika kesi hio ya mcheza golf machachari na tajiri nambari moja duniani katika anga za michezo hakukuwa na madai kuhusu kugawana pesa kitu kilicho washangaza watu wengi.

Zaidi soma hapa: http://uk.eurosport.yahoo.com/23082010/58/tiger-woods-elin-nordegren-divorce.html

Mabadiliko Angalia Bongo Blog...


Natumaini kuwa mnaendelea vyema na shughuli za kila siku za kujenga taifa..Jambo la msingi tu kuhusu email hii hi kuwaomba wana blog wenzangu kuweza kunisaidia kuwataarifu wasomaji kupitia blog zenu kuhusu mabadiliko ya blog yangu kutoka http://www.angaliabongo.co.tz na sasa kuwa http:// www.angalia-bongo.com. Natumaini mtaweza kunisaidia kwa hilo.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.
SARAH.

15 August, 2010

How can I help?

Hello dear!
My name is miss Sandra
How are you doing? I hope you are fine with your family and friends too. I am in need of love, also seeking for someone that i can call my own, I know this will sound as a surprise to you since we haven't communicate before now or don't even know each other at the moment but i also know that the journey of a thousand mile must start with a step that is why I want to know more about you and also i will like to let you know more about me to and even to give you entrance into my life, i mean, i need a serious and real relationship not just a mail friend or pen pals or phone and chatting friends, i need a someone who will be ready for both of us to meet each other face to face, I need someone that i can see and talk with face to face, if you are also interested kindly write back for us to talk and know each other more better, i will be waiting to read from you, take care of yourself and may God be with you,
Yours friend to be Sandra

12 August, 2010

Fine kama hii bongo ingemaliza ajali zote

Raia mmoja wa Sweden aishie Switzerland yamemkuta baada ya polisi kumfuatilia baada ya camera kushindwa kumpiga picha wakati akitembea mwendo hatarishi barabarani.Nchini Switzerland mwendo kasi katika barabara za masafa marefu (Motor ways) ni 74.5mph (120km/h). Kinyume na sheria mtu huyo mwenye miaka 37 amekamatwa anaendesha Mecedes Benz SLS kwa mwendo wa 186mph (299.34km/h) (huu ni mwendo wa kutafuta kifo duuh).

Msweden huyo ambaye ametozwa fine ya 650,000£ (fanya hesabu mwenyewe kupata ni kiasi gani kwa hela zetu za madafu!!!!) .Hiki ni kiasi kikubwa kabisa cha fine zilizowahi tolewa nchini humo na bila shaka mheshimiwa huyo hajawahi kusikia wala kuota fine kiasi hicho katika maisha yake yote tena akiwa anaendesha gari ya bei ndogo kabisa (140,000£ tu).

Jamaa huyo ambaye amejitetea kua speedometer ilikua mbovu kwahio hakuona yuko speed gani ametakiwa kulipa kiasi hicho cha fine bila maelezo.polisi wamedai alihitaji nusu kilometer kuweza kusimama na camera hazikuweza kumpiga picha kwani alikua juu ya kiwango cha uwezo wa camera kupiga picha ambazo ni speed chini ya 125mph (201km/h).Hivi fine kubwa kiasi hiki bongo zingesaidia kupunguza ajali barabarani?

Picha iliyopigwa na camera hio hata haionyeshi kama kimepita kitu gani kwani haionekani vizuri angalia picha hapo chini au angalia hapa http://uk.cars.yahoo.com/12082010/36/swedish-driver-gets-pound-650-000-speeding-fine-0.html

09 August, 2010

Polisi UK wala bata kazini

Hapa UK polisi wa usalama barabarani hawajua kuchomwa na jua ni kitu gani kwani imekua tofauti kabisa na Tanzania ama nchi nyingi zinazo endelea ikiwemo Africa.Wenyewe vidhibiti mwendo ni kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini.Ukitembea mwendo usio ruhusiwa basi risiti ya fine utatumiwa nyumbani kwani hio camera inapiga picha gari zote zinazo tembea kwa speed hatarishi/isio ruhusiwa kuanzia motor ways mpaka barabara za kawaida.Kwa maana hio hakuna haja traffic kujificha porini na camera kwani wanaweza hata liwa na simba (L0l-joke)

Mbali na hivyo vitendea kazi walivyo navyo mfano magari ni dalili tosha kwamba serikali yao iko makini katika ulinzi na usalama kwani magari wanayo ya uhakika mfano BMW X5, D529, Range Rover, Hummer,lambourgini, Lotus, Lexus,Jaguar,Ford,Astra, Landrover Deffender, Mecerdes Benz na nyingine nyingi bila kusahau helicopter ambazo zina nembo ya polisi na nyingine hazina ukitaka kuona picha zaidi ingia hapa http://www.google.co.uk/images?hl=en&source=imghp&biw=1276&bih=605&q=police+cars+UK&gbv=2&aq=f&aqi=g1&aql=&oq=&gs_rfai=
Pia kujua kama gari lako lipo barabarani kimakosa mfano kutokua na insurance, gari la wizi n.k sio lazima polisi akusimamishe akiwa kwenye gari lake either mbele au nyuma yako basi anaweza jua gari lako lina makosa na ukasimamishwa kwa mahojiano zaidi.


(camera ya kudhibiti mwendo na uhalifu barabarani-UK )


Aidha polisi ni washikaji/rafiki wa kila mtu na hawaogopwi kama wetu huko Africa, hawa wa huku UK unaweza hata ukaomba hata lift hawana noma provided makaratasi yako yapo valid maana unaweza kua kama panya alie ingia zizi la paka bila kujali litakalo tokea. Pia ukienda club wanakuwepo wengi tu nje pamoja na Ambulance tayari kuwabeba walio zidiwa na pombe (hahaha).Zaidi ya hayo wapo askari wa doria ambao wanazunguka mtaani kwa magari na baiskeli, pia kwa miguu.Changamoto yetu hapa ni serikali zetu kua makini na vitendea kazi vya maafisa wetu wa kulinda usalama mahali popote nchini

(Gari la polisi aina ya Range Rover)

Hii inakuaje wadau!!!!!!!

Mimi sina comment kuhusiana na hili na sio hater wa Asernal ila nauliza utani huu ni inakuaje? Je huku sio kukatishana tamaa?

Wakenya nao hawapo nyuma mambo ya 419

Hello Dear

Good day to you and how is everything? honestly I am glad to write you this letter and I hope everything is ok with you over there. My name is Anita Kipkalya Kones from Kenya,i am 24 years old and the daughter of the former Kenyan road minister late Dr Kipkalya Kones who died on Tuesday 10th June 2008 along the Cessna 210 plane crash which was heading to Kericho in a remote area called Kajonga in western Kenya as You can read more on the crash below:

http://edition.cnn.com/2008/WORLD/africa/06/10/kenya.crash/index.html

Although we are just getting to know each other please consider it as a divine wish and accept it with a better understanding,I believe you have come to hare the good life with me because i am very lonely where i am,i just need your honest attention as you will consider me to be your closest friend. Ernestly i am writing this mail with tears and sorrow from my heart due to the condition i find myself after the passing away of my parent and nothwithstanding the whole tragic situation my step mother made me feel mallested and rejected without any cause simply because my mum had died earlier and i am from a polygamous family.

Thereafter the funeral of my late dad,my stepmother and my uncle with their african mentality conspired and sold off my father's properties worth milions of dollar to an italian expertrate and shared the money among themselves living me with nothing.

One faithful morning as i tried to open my father's briefcase,i found an important documents with which he had deposited some money in my name as the next of kin at the African development bank,Burkina Faso. I had travelled down to Burkina Faso to withdraw some of the money to take good care of my self because i am in difficulty but the Bank Director whom I met in person highlited me on my father's instruction to the bank concerning the money and how it should be withdrawn that only on the account that i am married or i should present to the bank an honest,responsible and worthy trustee whom will assist me in reclaiming the fund into safe hands and transfer it for an investment as i finish up my education.

In my search for a reliable person i have found you a man i can count on and I believe that you will not betray my trust on you but rather take me as your own sister or closest friend because right now i am suffering terribly here in Burkina faso in the refugee camp as i have no body to rescue me from this strange situation in a foreign land.

I have chosen you to be my best companion and in my prayers i am convinced that you will be the true one to rescue me from this trouble as my husband or trustee and i am having the trust that wih you i will accompish this successfully. I have the money confirmed in the bank $7.2 million in their records as unclaimed bill in my father account and i have the death certificate and the deposit certificate of the fund to state as proof of my geneuity.

I shall compensate you as you want from the whole money in as much as you could help me make the transfer of this money into your account successfully. I wait upon your positive response showing your interest and ability to stand for me in this situation and carry to carry out this transaction and in the light of the above i shall appreciate your urgent message indicating your willingness to help me with all your mind to achieve this successfully with a better details about yourself ok. Thanks and God bless you as i look forward to seeing your reply.

Miss Anita Kipkalya

Sitaki kuamini wadhungu pia design wamo!!!!

My name is David Blake I am from Scotland Please take this serious,
I am taking this liberty anchored on strong desire to ask for your
assistance for help. Your consent and urgent attention will greatly be
needed, devoid of apprehensions.

I have been diagnosed with Esophageal cancer. It has defied all forms of medical treatment, and right now I have only about a few months to live, according to medical experts My family and few friends have betrayed me, I have 5 million dollars which i want you to help me distribute to charity in your country and for research into the cure of cancer. I am ready to give you a percentage of the money for your time and efforts. Please get back to me via this email address
dblake881@yahoo.com
for more details

David


---------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------
CONFIDENTIALITY NOTICE: This e-mail message, including any attachments, is for the sole use of the intended recipient(s) and may contain confidential or legally privileged information. Any unauthorized review, use, disclosure or distribution is prohibited. If you are not the intended recipient, please contact the sender by reply e-mail and destroy all copies of this original message.
==============================================================================

05 August, 2010

so does he?

Based on the interview it looks like he knows how hard the real life is in The United Replublic Tanzania, so my question is how far has he tried to alleviate the problems he himself has experienced?.Does he have any dedicated team to support him? As such in my view no president in the world shall be seen and of course be in the certification of highly defined competence without a genuinely formed,broad minded,positive,ethical,trustwothy,patriotic,focused and well dedicated team to deliver.No way!!! what do you think??

Me I think akiondoa ushikaji kwenye vitengo he is best namkubali ni kuwa makini tu na utendaji wa wasaidizi na wanaozingua wapumzishwe bila kujali ukada ama uzoefu kwani mwisho wa siku wakiharibu lawama hubebwa na mkuu wa kitengo ambaye kwa Tanzania ni Mh Dr Jakaya.Ni imani yangu ataendelea kung'ara term hii japo ni wazi kampeni za nguvu zote zanatakiwa na ni ukweli usiopingika kwamba viti vya upinzani vitaongezeka bungeni.Kwa maana hio tutakua na hot bunge this time!.Mungu ibariki Tanzania.