Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Tanzania. Show all posts
05 August, 2012
16 August, 2011
TUNES OF THE WEEK (BONGO FLAVA)
Hii leo ndio list yangu ya Miziki mizuri ya Tanzania (Bongo flava) ikiongozwa na AY ft Lil Romeo,Lamyia.Hizi ni baadhi ya nyimbo bora za wasanii wetu siunajua mcheza kwao hutuzwa basi unaweza sikiliza kwa kubonyeza moja baada ya nyingine .Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa.
MUWEKEZAJI AKIONA MANENO HAYA LAZIMA AKIMBIE SANA.
Kipengele cha hakuna serikali (No Government) siamini labda tuseme haijawajibika katika baadhi ya mambo.
14 June, 2011
MAMBO YA MPANGALA!!!!
Chanzo:komic first
Tuseme ukweli ukiachana na hii ya Mpangala kama hali iko hivi Bungeni basi hio posho iondolewe maana sio haki kama mtu unalala fofo bungeni hio michango ya maendeleo ya jimbo lako unatoa wapi na saa ngapi? Yaani kulala ulale na ukiamka ulipwe? Angali huyu!! sasa akiamka hapo ni kugonga meza hoja imepita hata kama hajui inahusu nini (hapa ndipo ninapo wapendea wapiga picha)
Kwa katuni zaidi SOMA HAPA

24 May, 2011
SIMBA SC KUVAANA NA BIRMINGHAM CITY FC JULY 7 MWAKA HUU
Timu ya mpira Simba Sports Club ya Dar es salaam kuvaana na Birmingham City Football Club ya Uingereza Julai 7,2011.Hayo yatategemea kuthibitishwa baada ya timu ya wataalamu toka Uingereza kuona kiwango cha uwanja na mazingira kiujumla kimichezo baada ya kukagua tarehe 16/05/2011.Kama mechi hio itaridhiwa Birmingham City ita ambatana na mashabiki wasio pungua 1000 watakao jilipia gharama za safari na malazi wenyewe wakati timu itajipatia vijisenti visivyo pungua Dola Million 1.2 na kulala hotel nzuri.
kikosi cha timu ya simba
Mpaka sasa safari ya BCFC kwenda Tanzania haijathibitishwa baada ya ukaguzi ulio pangwa ufanywe tarehe tajwa hapo juu na pia kutokana na ratiba za mechi za hapa ulaya.Baada ya hayo yote kukamilika ndipo safari itathibitishwa.Pia nimetembelea mtandao wa Simba SC (http://simbasportsclub.co.tz/v3/) hakuna taarifa yoyote kuhusu mechi hio sasa sijajua mashabaki tutajua nini kinaendelea maana menu zenyewe hazina maelezo yoyote yaani hata menu iko empty: Mfano events,matches,News hakuna kitu-sijui labda nimeingia sio site yenyewe kuna anayejua anipe site halisi please! maana kama ndio yenyewe bado hatupo siriazi kiukweli maana haina cha maana zaidi ya orodha ya viongozi,wachezaji na historia ya timu!!!!!.Angalieni Yanga http://www.yangasc.com/
Anyways, hongereni Simba kama hio mechi itachezwa na nawatakieni ushindi dhidi ya wazungu!.
soma zaidi hapa:http://www.goal.com/en/news/89/africa/2011/05/03/2469421/birmingham-city-officials-to-inspect-facilities-in-tanzania
: http://www.birminghampost.net/midlands-birmingham-sport/west-midlands-sports/birmingham-city-fc/2011/04/18/birmingham-city-tanzania-confirmed-as-potential-destination-for-pre-season-tour-97319-28542251/

06 April, 2011
SIKILIZA HII WAKATI TUNA TAFAKARI MWAKA WA VIKOMBE!!!
Sasa dozi ni VIKOMBE VITATU huko Njombe,Tafakari ya mwaka na haijawahia tokea Tanzania.Basi wakati tunatafakari VIKOMBE ambavyo mimi nafikiri ni Imani zaidi ndio huponya basi tusisahau na Burudani (wanasema raha jipe mwenyewe) lakini mara nyingine raha unapewa.Hii nyimbo ya Banana nimeipenda sana kama vipi isikilize ukiwa katika tafakari ya VIKOMBE LOLIONDO kwa Babu (500) ,MBEYA kwa dogo (Bure) ,TABORA kwa mama (500) ,MOROGORO kwa dada (200 /= hii nadhani ni sale itaisha.......!!!) NA SASA NI NJOMBE Dr Mwandulami vikombe 3 bure ikthibitika inaponya utalipa.............???!!!.Big money!!!
31 March, 2011
MWAKA WA VIKOMBE NI HUU, MORO KUMEKUCHA KIKOMBE KINGINE!!
Baada ya Babu wa Loliondo kuvuma kwa kasi ya ajabu tukasikia wa Rombo (fundi baiskeli) bahati mbaya hakuvuma!!!,kaja dogo wa Mbeya Mabatini, mara dada wa Tabora wote bei ya KIKOMBE ILIKUA Tshs 500/= na sasa ni Dada wa Morogoro!!. Tena huyu kaja na 'sale' KIKOMBE 200/=. Toka tusikie KIKOMBE watu Kibao wapo bize na Vikombe sasa mie sijui ngoja tuone mwisho itakuwaje HUU MWAKA WA VIKOMBE, inatishaa..
Kwa habari zaidi tembelea kero nyingi blog hapa: http://keronyingi.blogspot.com/2011/03/breaking-news-kuna-dada-wa-mji-kasoro.html
Kwa habari zaidi tembelea kero nyingi blog hapa: http://keronyingi.blogspot.com/2011/03/breaking-news-kuna-dada-wa-mji-kasoro.html
08 March, 2011
BABU ANAYE SADIKIKA KUTIBU UKIMWI AFURISHA WATU-ARUSHA
Babu mmoja kwa jina Ambilikile Mwasapile (76) wa Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha amejipatia umaarufu wa ghafla baada ya kugundulika anatibu magonjwa lukuki ukiwemo UKIMWI.Babu huyo ambae inasaidikika ni mchungaji mstaafu wa kanisa la KKKT-Loliondo amesema mwanzo ilikua ni ndoto ambayo amekua akiiota toka mwaka 1991 ambayo Mungu amemuagiza aponye watu.Ndoto hio imejirudia rudia mpaka Augusti mwaka 2010 ambapo aliamua kuanza kutoa tiba rasmi kwa gharama ya sh.500 tu.
Mpaka sasa maelefu ya watu mbalimbali,vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake wamekuwa wakienda kwa mzee huyo kupata tiba na baadhi wamekili ni TIBA HALISI.Mpaka sasa ni kama kitenda wili machoni pa watu kila mtu akiuliza ni kweli au sio kweli.Kwenye mitandao mbalilimbali kama facebook,blogs,webisites na chatrooms gumzo ndo hilo japo bado hawaamini kama ni kweli na wanasema kama ni kweli na wao wataenda
Kwa walio ona foleni ni kubwa kupita maelezo katika kufata tiba hio ya asili na huenda babu huyo akavunja rekodi ya utojai tiba asili nchini Tanzania tena kwa muda mfupi. Kama utavyo ona picha hapo chini watu ni wengi sana kama nilivyozitoa Facebook.
Siku zote mimi huwa nasema kwa watu wa karibu UKITAKA KUJUA KAMA KUNA WATU WANAUMWA NENDA HOSPITALI NA UKITAKA JUA KAMA WATU WANAKUFA NENDA MAKABURINI.Bila hivyo hutajua labda kama anaye umwa ama kufa ni ndugu ama jirani au wale ambao utaona ama kusikia kupitia vyombo vya habari.
Msafara kwenda kwa babu
Babu akiwa amezungukwa na watu waliofata tiba pamoja na kushangaa
msafara ndio kama hivi ( babu asababisha foleni)
By
Rik Kilasi
On
Tuesday, March 08, 2011
0
comments
Labels:
Arusha,
Loliondo,
Tanzania,
Tiba Ya Asili
16 February, 2011
Mabomu yalipuka Gongo la mboto jijini Dar
Imeripotiwa kutokea mlipuko wa mabomu jijini Dar es salaam eneo la Gongo la mboto.Watu kadhaa walisambaa eneo hilo wakikimbia huku na kule kunusuru maisha yao.Hata hivyo bado haijajulikana chanzo cha mlipuko huo na hata maafa yaliyotokea.Hali kama hii imewahi tokea mwaka 2009 Mbagala ambako ghala la mabomu lilipuka na kusababisha uharibifu mbali mbali katika eneo hilo.Stay tuned Kwa habari zaidi nini chanzo cha mlipuko huo na hata madhara yaliyotokea.
Moja ya taswira ya mlipuko wa mabomu kwa mbali:

Taarifa ya polisi katika video kupitia ITV.Too many questions to ask watu watatuliaje mbele ya bomu? Ye mwenyewe asingeweza kutulia hapo ITV akisikia kuna bomu
Anyway msikilize mheshimiwa akitoa taarifa

Wednesday, February 16, 2011
2
comments
Labels:
Dar,
Gongo la Mboto,
Mabomu,
Mlipuko,
Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)