tag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.comments2023-10-29T07:52:04.173+00:00The NetworkRik Kilasihttp://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comBlogger104125tag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-89485850279959420872016-03-09T12:52:28.616+00:002016-03-09T12:52:28.616+00:00Bei iko wapi Bei iko wapi Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09446048229260677380noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-22542756202934548832016-01-30T04:24:17.994+00:002016-01-30T04:24:17.994+00:00Bei ya bidhaa shs. ngp kkBei ya bidhaa shs. ngp kkAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08518473921057202637noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-36353732766986462902013-07-31T08:31:59.029+01:002013-07-31T08:31:59.029+01:00Hello,
Je kama nina biashara yangu, mfano natenge...Hello,

Je kama nina biashara yangu, mfano natengeneza kadi za mialiko ya sherehe mbalimbali, naweza kutangaza kwenu? Na je nafanyaje? Is it completely free?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-8696402985393648992013-06-25T20:21:02.700+01:002013-06-25T20:21:02.700+01:00Anon ada za chuo zinategemea na kozi ambayo wataka...Anon ada za chuo zinategemea na kozi ambayo wataka soma.sijaelewa hiyo ya certificate, ninachojua ni kwamba kila kozi ina masharti yake ili uweze kujiunga!Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-16864054163421823222013-05-28T09:33:44.147+01:002013-05-28T09:33:44.147+01:00samahani sana je hiko chuo cha uk ada yao ni ngapi...samahani sana je hiko chuo cha uk ada yao ni ngapi na certificated wanachukua Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-67673130256937788822012-11-14T18:53:09.831+00:002012-11-14T18:53:09.831+00:00Hello there! I could have sworn I've been to t...Hello there! I could have sworn I've been to this website before but after checking through some of the post I realized it's new to me.
Nonetheless, I'm definitely happy I found it and I'll be book-marking and checking back frequently!
Also visit my web page - panic attackAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-6893891840856043202012-10-08T12:02:55.116+01:002012-10-08T12:02:55.116+01:00Karibu sana absolutelyawesomethingsKaribu sana absolutelyawesomethingsRik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-57771905549255463242012-10-08T01:17:01.701+01:002012-10-08T01:17:01.701+01:00Rik asante sana kwa kutoa tangazo.Ubarikiwe.Rik asante sana kwa kutoa tangazo.Ubarikiwe.absolutelyawesomethingshttp://www.absolutelyawesomethings.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-46357679222830567902012-04-09T17:35:49.728+01:002012-04-09T17:35:49.728+01:00Weka bei ya bidhaaWeka bei ya bidhaailongahttps://www.blogger.com/profile/02447008903736569708noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-88753015566788443862011-12-14T23:57:41.380+00:002011-12-14T23:57:41.380+00:00Da Yasinta siku hizi si haki sawa ama? so kujireke...Da Yasinta siku hizi si haki sawa ama? so kujirekebisha kupo pande zote coz kote siku hz kuna vidumu japo si wote katika ndoa wana vidumu ila vipo umefika wakati wakujirekebisha maana kujichana nje ndo kubomoa ndoa bila sababu ya msingi.Ni kazi kweli maana heshima ya ndoa inapungua siku hadi sikuRik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-20181545356740701152011-12-08T14:42:55.091+00:002011-12-08T14:42:55.091+00:00Labda sijui akiana baba watajirekebisha ...Hapa ku...Labda sijui akiana baba watajirekebisha ...Hapa kuna mafundisho yake na yasemwayo ni kweli kuna akina baba nyumbani kuna njaa yeye anajichana huko nje na kimwana wake...kaazi kwelikweliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-82495515970667157812011-09-30T03:04:30.001+01:002011-09-30T03:04:30.001+01:00brinkka2011 says: wonderful points altogether, you...brinkka2011 says: wonderful points altogether, you just gained a new reader. What would you suggest in regards to your post that you made some days ago? Any positive?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-71247299014059892982011-09-22T16:29:58.043+01:002011-09-22T16:29:58.043+01:00brinkka2011 says: Hi, I love your weblog. Is there...brinkka2011 says: Hi, I love your weblog. Is there some thing I can do to obtain updates like a subscription or some thing? Im sorry Im not acquainted with RSS?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-64723327058313193972011-08-31T20:04:47.065+01:002011-08-31T20:04:47.065+01:00MASANJA YOUR THE BEST..KEEP IN TOUCH WITH JESUS..L...MASANJA YOUR THE BEST..KEEP IN TOUCH WITH JESUS..LOVE FROM U.S FANSU.S.Ahttps://www.blogger.com/profile/16708385560819010996noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-80636711974207374462011-08-31T20:04:08.931+01:002011-08-31T20:04:08.931+01:00masanja your the best we love u!!!!!!!!!!!!from u....masanja your the best we love u!!!!!!!!!!!!from u.sU.S.Ahttps://www.blogger.com/profile/16708385560819010996noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-90549245853959505892011-08-31T15:12:41.701+01:002011-08-31T15:12:41.701+01:00Asante Dada Yasinta na wewe pia bila kusahau wadau...Asante Dada Yasinta na wewe pia bila kusahau wadau wote popote walipo!Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-42446120109907941472011-08-31T08:30:28.737+01:002011-08-31T08:30:28.737+01:00Eid Njema kwa wote!!Eid Njema kwa wote!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-34687693538701385682011-08-29T17:20:52.760+01:002011-08-29T17:20:52.760+01:00Kaazi kwelikweliii!! Mungu ibaribi nchi yetu Tanza...Kaazi kwelikweliii!! Mungu ibaribi nchi yetu Tanzania!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-78735775450803424472011-08-17T01:25:56.017+01:002011-08-17T01:25:56.017+01:00Nadhani upo sawa Mr Simaya swala zima la mapenzi y...Nadhani upo sawa Mr Simaya swala zima la mapenzi ya kweli kwa hali yasasa bado ni kitendawili wengi tunatamaniana tu na kudhani tunaweza ishi wote.Kuna watu wanaangalia mali,uzuri bila kujali tabia za mtu kwakujipa moyo labda 'atabadirika' (kama ana tabia mbovu) si wote wanaweza badirika

Nadhani ifikie wakati watu wajue mwenza wa kuoa/kuolewa naye lazima awe ni mwenye asilimia kubwa ya kuendana na mapungufu yake na si vinginevyo.Kupuuzia haya au kusema ngoja nikajaribu unaweza jikuta unajaribu watu kibao na umri unaenda na kila mtu atakuaona huna maana na hujatulia.Mbali na hilo kuna magonjwa yamezagaa,kwahio ni vizuri kuchagua aliye sahihi ili usijutie uamuzi wako hapo baadae japo hili zoezi ni gumu tukikumbuka kwamba tabia za binadamu hubadirika kuendana na mazingira na tukio kwahio inakua ngumu kumjua nani anaigiza na nani mkweli cha msingi ni kumshirikisha tu Mungu katika mchakato mzima wa kusaka mwenza wa ukweli sio muigizaji kwani sasa yanageuka kua maigizo vile japo si kwa wote!Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-22471186985753670382011-08-16T22:56:04.393+01:002011-08-16T22:56:04.393+01:00Wazee wetu wa jadi walifurahia mahusiano yao, na w...Wazee wetu wa jadi walifurahia mahusiano yao, na waliweza kuishi miaka mingi katika ndoa,... Ijapo kuwa sewezi kuhitimisha kwakusema hawakuwa na matatizo.Swali tulanalofaa kujiuliza ni kwa nini hawa wenzetu waliweza kukabiriana na karaha zote za mapenzi..
Jibu nadhani ni rahisi.. safari ya mapenzi, inahitaji upendo wa dhati..sio kudanganyana kati ya wapendanao, uvumilivu..hapa tunafaa kukumbuka kwamba sisi sote ni binadamu... we are prone to mistakes .. kukaa chini na kutafakari ni mambo yapi yanayoharibu mahusiano kati ya wawili wanaopendana na hatimaye kukubali kuwa na kiongozi katika ndoa,... jamani kama hutatuweza kufanya hivyo basi Goriati wa mapenzi hutuwezi kupambana naye..
Yakhe mmoja aliamba..'Nyakati hizi tuishizo sasa.. mwanzo wa mapenzi huwa ni mtamu kama asali... katikati ya mapenzi huwa ni mtamu kama limao...lakini mwisho wa mapenzi huwa mchungu kama shubiri (sumu ya mapenzi)
Hii ni kwa sababu watu siku hizi hawana nyenzo sahihi za kukabiriana na tatizo hili...H. J. Simayahttps://www.blogger.com/profile/11893351930343863269noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-84982908254901553882011-08-16T01:43:39.228+01:002011-08-16T01:43:39.228+01:00Miss K Siasa ya Tanzania kuja kubadirika itachukua...Miss K Siasa ya Tanzania kuja kubadirika itachukua muda sana hasa ukizingatia kipindi cha kampeni wagombea humwaga mapesa raia na shida zake anasahau mateso yote anamchagua.Yale mapesa yatarudi vipi kama sio kususia miradi endelevu na ya umma na kua bize kurudisha mapesa?

Kweli kazi tunayo kama mambo yenyewe ndio haya kwani ni aibu ukitazama kama umeme unawaka kama 15% ya nchi nzima and yet mgao mkali sasa jiulize kama ungewaka nchi nzima nadhani mgao ungekua kwa mwezi umeme ungewaka mara1.Ni imani yangu changamoto zilizo ikumba serikali kipindi hiki zitaleta mabadiriko chanya katika utendaji ama uwajibikaji wa serikaliRik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-75113351701464845092011-08-15T01:55:09.232+01:002011-08-15T01:55:09.232+01:00Really great article with very interesting informa...Really great article with very interesting information. You might want to follow up to this topic!?! 2011Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-3641679442014039092011-08-14T05:58:03.294+01:002011-08-14T05:58:03.294+01:00Tatizo kubwa ni sisi wenyewe kuchagua mtu ambaye h...Tatizo kubwa ni sisi wenyewe kuchagua mtu ambaye hakufanya lolote kwa kipindi cha miaka 5. Sasa naona tumempa nafasi ya kuonyesha jinsi gani hajali vilio vya waTz. Haiwezekani maendeleo bila ya maji, umeme na sasa mafuta. Unategemea watu waishi vipi? Halafu amekaa kimya kama kawaida yake ndo kwanza kasafiri kwenda nje.Watu hawawezi kuishi kwa vibatari hii ni karne ya 21. Kusema kweli sielewi kwanini yote haya yanatokea..Miss K.https://www.blogger.com/profile/05921895854876844330noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-31164114560543403342011-08-14T05:40:54.038+01:002011-08-14T05:40:54.038+01:00haha usisahau na kudua je?haha usisahau na kudua je?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-68437355785976094892011-08-14T05:36:04.554+01:002011-08-14T05:36:04.554+01:00awesome blog, do you have twitter or facebook? i w...awesome blog, do you have twitter or facebook? i will bookmark this page thanks.

My blog:
credits rachat rachat de creditAnonymousnoreply@blogger.com