25 March, 2009

Raha nyingine hii hapa, tunisha tu mfuko, mambo ya mercedes Benz!


Hii ni ML 270,matoleo mengine hufuata hivi punde, usisite kuuliza unachotaka au toleo, iwe brand new au used ni wewe tu kusema.