20 March, 2010

kanya boya toka facebook, mwenye macho......

Hi kanya boya nimetumiwa mimi ila ni fake as usual, wizi wa habari zako kwa namna moja ama nyingine.Hii inaweza kumtokea mtu kama atafuata maelekezo wanayotoa bila tahadhari yoyote. Utapeli kama huu uko pia kwenye yahoo accounts na social networks nyingine.Ni vizuri kua waangalifu tunapotumia tarifa zetu ama kujiunga mitandao mbali mbali ya kijamii kwani 'hackers' wengi wamevamia mitandao kama hiyo kwani ni rahisi kupata habari za watu wengi kwa pamoja.Aidha information wanazo taka ni pamoja na majina yako kamili, tarehe ya kuzaliwa,anuani ya unapoishi, simu,pia bank details.Mimi nimeshawahi tumia attached file lililo tumwa na mtu ninaye mjua toka facebook lkn nikitaka kufungua lina nipa option ya INSTALL badala ya DOWNLOAD/OPEN. Nikaona si vema ku-install kitu nisicho kijua bali nikumuuliza aliyetuma kama kanitumia nini, akajibu hajatuma ujumbe wowote kwangu kupitia facebook, tuweni makini vinginevyo tutalia. chini ni mfano wa meseji nilotumiwa kuhusa facebook account na same massage nimewahi tumiwa yahoo account.


Hey rik ,

Because of the measures taken to provide safety to our clients, your password has been changed.
You can find your new password in attached document.

Thanks,
The Facebook Team.


wiziiiii mtupuuu