15 August, 2015

TATIZO LA AJIRA TANZANIA LAGEUKA KITEGA UCHUMI CHA WEZI WA MITANDAONI!!

Links to this post

Meseji hio hapo chini inazunguka kwenye simu kupitia namba kadhaa mojawapo ni +255 653 962 654. Ukiona hio mjulishe na mwenzio ni wezi wa mitandaoni.Wanaweza tangaza kazi hafu ukituma vyeti vya kuomba hio kazi wanakutumia hio meseji.Hii sio stori ila wengi wamekwisha ibiwa kwa style hio.Mulika mwiziiiiiii Hallo, am Mr. Michael from UNIROLL SYSTEMS Dar, tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for HUMAN RESOURCE OFFICER post, your cv is good me nataka kukusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/=(take home salary) ukishaanza kazi rasmi utanipa sh. laki 4 kama asante yangu kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 na nusu jioni uwe umetuma sh. elfu 45 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali leo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni nitakupigia simu.