Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
24 October, 2011
20 October, 2011
CHANGAMOTO YA LEO
KUTOKANA NA MATATIZO YA FOLENI ZA HAPA NA PALE JIJINI DAR ES SALAAM PIKIPIKI (MAARUFU KAMA BODA BODA) IMEKUA KAMA MKOMBOZI JAPO KUNA TATIZO.HIVI HAWA WAENDESHAJI PIKIPIKI LESENI WANAPATA ZA HALALI? KAMA NI HALALI KWANINI AJALI NI NYINGI? NADHANI KUNA HAJA YA WATU WANAOFANYA BIASHARA HII KUA NA MAFUNZO MAALUMU YA LAZIMA KULINDA MAISHA YAO PAMOJA NA ABIRIA AMBAO WANAWABEBA.ALIYETENGENEZA HII PICHA HAJAKOSEA NI KWELI SASAHIVI KUA/KUPANDA PIKI PIKI NI SAWA NA KUTAFUTA ULEMAVU TENA WA KIZEMBE KABISA.WAJIBU WA SERIKALI HAPA NI KUTOA LESENI HALALI NA KUZIKAGUA MARA KWA MARA, PIA MTUMIAJI WA CHOMBO KAMA HIKI THAMINI MAISHA YAKO KWANINI UENDESHWE NA MTU ALIYELEWA,HANA UZOEFU AU ANAPITA SEHEMU YA HATARI NAWEWE UNAMUANGALIA TU? SERIKALI HAIWEZI FANYA KILA KITU KUA MWANGALIFU!!
TATIZO LA AJIRA LIPO KILA SEHEMU
Watu 500 wapanga mstari kuomba kazi (nafasi 20 tu) UK
Kufuatia kuanguka kwa uchumi kuanzia mwaka 2008/2009 ambako kumeathiri mzunguko wa fedha nchi mbalimbali duniani ambapo kila serikali iliweza jitahidi kunusuru uchumi wake kwa namna yake.Hapa Uingereza Gordon Brown alilazimika kuuza nusu ya dhahabu ya nchi kunusuru uchumi ulio yumba.(soma hapa).USA nao wali inusuru nchi kwa $700 Billion (soma hapa).Anguko hilo la uchumi lilipelekea makampuni mengi kufungwa na kupoteza ajira za watu wengi sehemu mbalimbali duniani.Hapa UK watu zaidi ya 2 million hawana ajira hivi sasa na serikali ndio inawagaramia kwa job seekrs allowance (kwa wazawa na wenye sheria ya kuishi nchi hii)
Sijashangaa kuona msururu ulijitokeza Chuo kikuu Dodoma kwa nafasi 12 za ajira.Ila nimeshangazwa na utaratibu wa kuita watu zaidi ya 2000 kwa nafasi 12 za ajira.
Ati msururu wote huu waitwa kwa usaili wa nafasi 12 za kazi!!! hivi inaingia akilini??
(picha kwa hisani ya Bongo Pix Blog)
Hii ni kuchezea akili za watu huwezi ita (shortlist) watu 2000 kwa nafasi 12.Hawa watu wanasafiri toka sehemu mbalimbali sio ustarabu kuita watu wote hao kwa nafasi hizo chache (soma hapa na hapa).Hii ni sawa na shule/chuo kinachochukua wanafunzi 100 kutoa fomu laki moja za kuomba nafasi tena kwa kulipisha watu pesa huu ni wizi wa hali ya juu sana.Ufisadi sio lazima mtu ale rushwa hata huu ni ufisadi.

17 October, 2011
16 October, 2011
14 October, 2011
LEO NI SIKU NA MWEZI AMBAO BABA WATAIFA ALIIAGA DUNIA
Julius Kambarage Nyerere (13 April 1922 – 14 October 1999)
LEO TAREHE 14 MWEZI WA 10 NI SIKU NA TAREHE AMBAYO TUNA ADHIMISHA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA RAIS WA KWANZA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.SIKU HII NI SIKU MUHIMU KITAIFA NA PENGINE KIMATAIFA KATIKA HISTORIA YA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.KATIKA KUMBUKUMBU HII NI VEMA SERIKALI NA WATANZANIA KWA UJUMLA KUKUMBUKA MAMBO MUHIMU AMBAYO MWALIMU ALIKEMEA KW ANGUVU ZAKE ZOTE.MFANO WA MAMBO HAYO NI RUSHWA (CORRUPTION) MAARUFU KAMA KITU KIDOGO.
RUSHWA IMEKUA KAMA MCHEZO AMBAO UMEZAGAA TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA.SASA HIVI HATA UKITAKA HUDUMA YA AFYA YA HARAKA NI LAZIMA UTOE KITU KIDOGO.HUDUMA YA BURE BILA KITU KIDOGO HUWEZI PATA KWA MUDA UNAOTAKIWA.MCHEZO HUU MCHAFU UMEKUA KWA KIASI KIKUBWA KIASI KWAMBA KUNA WATANZANIA WANA AMINI BILA RUSHWA HUWEZI FANYA LOLOTE.
MADHARA YA RUSHWA NI PAMOJA NA KUTO KUWAJIBIKA KWA VIONGOZI WETU,UONGOZI USIO WA SHERIA,MAADILI WALA HAKI,AJALI,VIFO,MAENDELEO DUNI,HUDUMA MBOVU KWA JAMII MFANO HUDUMA ZA AFYA,ELIMU,BARABARA N.K.ITAMBULIKE WAZI KATIKA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU KUA RUSHWA BADO NI ADUI MKUBWA ALIYEKOMAA NA KUIDIDIMIZA TANZANIA KATIKA NYANJA ZA KIUCHUMI,KIJAMII,KISIASA NA KIUTAMADUNI.TAASISI YA KUPAMBANA NA KUZUIA RUSHWA (TAKUKURU) IWE CHOMBO HURU NA CHENYE NGUVU KUWAJIBISHA WATUHUMIWA WA RUSHWA WANAPO BAINIKA BILA KUJALI NANI,CHEO,DINI WALA KABILA.ITAKUA HAINA MAANA KILA SIKU TUWE TUNASIKIA TAKUKURU WAMKAMATA KAMANDA FEKI HUKO SIJUI WAPI!
SOMA ZAIDI HAPA KUHUSU HISTORIA YA MWAL.NYERERE
Umar Farouk Abdulmutallab to face life sentence!!
Umar
Umar Farouk Abdulmutallab pleaded guilty to trying to blow up a transatlantic flight on Christmas Day 2009.Having pleaded guilty at his trial in Detroit, he is set to face life in prison when he is sentenced on 12 January 2012.Umar is a Nigerian born man aged 24 year old,privileged,very religious and teacher's dream.According to Michael Rimmer, a Briton who taught him history, told the BBC Umar Farouk Abdulmutallab had been "every teacher's dream - very keen, enthusiastic, very bright, very polite".[BBC]
Abdulmutallab's father, Alhaji Umaru Mutallab, said he had approached the US and Nigerian authorities to warn them about his son's views in November - weeks before the attempt to destroy the flight to Detroit with at least 300 passengers on board.
FIKIRIA HUYU NI MTOTO WAKO!!..HIVI KAMA MZAZI UNAPOONA MTOTO ANAENDA KUSIKO UNAKAA KUMUANGALIA AU UNACHUKUA HATUA? JE MZAZI WA UMAR ANAJISIKIAJE KUMKOSA MTOTO WAKE KWA MAISHA YAKE YOTE? JE ANGEMUONYA AMA KUMLAZIMISHA KUBADILI MISIMAMO YAKE SI ANGELISAIDIA KUOKOA MTOTO WAKE? KIJANA MDOGO KAMA HUYU SASA ATATUMIKIA KIFUNGO CHA MAISHA KWA FAIDA YA NANI? JE KUNA WAZAZI WANGAPI WA NAMNA HII? MTAZAMO WANGU MZAZI WA UMAR AMESHINDWA KUWAJIBIKA KIASI FULANI KAMA AKWELI ALIONA MTOTO WAKE ANAPOTEA ANGEFANYA KITU KUMUOKOA. JE UNGEKUWA WEWE MZAZI WA UMAR UNGEFANYAJE UNAPOONA MTOTO WAKO ANAPOTEA? KUTOA TAARIFA VYOMBO VYA DOLA BILA KUFANYA JITIHADA ZAKO KAMA MZAZI HAITOSHI NA HAIKUSTAHILI MTAZAMO WANGU. JE WEWE UNASEMAJE?
ZAIDI SOMA HAPA NA HAPA

MONEY vs HUMANITY
Ukitaka kuona kama pesa inamaana zaidi angalia picha hapo juu, sasahivi kuna maelfu ya watu Somalia na nchi jirani wakiwa na janga la njaa, maisha ya watu wengi yapo hatarini na muamko wa watu kutangaza janga hilo ni mdogo sana kulinganisha alipo kufa mwanzilishi wa kampuni ya Apple ambapo kila mtu ameonyesha kuguswa naye kwa namna moja ama nyingine.Je ni kwasababu alikua na pesa?, alitoa ajira nyingi? katoa bidhaa inayopendwa? mbunifu wa kihistoria katika maendeleo ya teknolijia?.jibu linaweza kua ni ndio lakini kwanini watu hawaguswi na hawa watu wanaokufa kila siku kwa kukosa chakula? ajali za kizembe kama zile za kuzidisha mizigo kwenye vyombo vya usafiri kwa manufaa ya watu fulani?.Je ni lini utu wa mtu utathaminika?
Things are back to normal on BlackBerry
This made a headline on various media after many of its users in Europe, the Middle East and Africa lost services on Monday.The BB users suffered problems with email, BBM and internet that were reported by customers later that day.Canadian firm Research in Motion (RIM) has apologised for the inconvenience and says that all services have now been restored.
Apparently there's no official word yet from RIM on what caused the problem but it's reported to be linked to a crashed server at a BlackBerry data centre.This indeed will be another huge blow to the company and its reputation apart from the weaker sales in the face of strong competition from Android handsets and Apple's iPhone.
12 October, 2011
BLACKBERRY BLACKOUT ENTERS 3RD DAY
A global BlackBerry outage has entered its third day with users more fed up than ever with the disruption to their e-mails, instant messaging and Internet.
The BlackBerry outage, which began at 11am BST on Monday, left 10 million smartphone owners across Europe, the Middle East and South America with limited access to data services.
In an update from the BlackBerry maker last night, Canadian company Research in Motion(RIM) explained the glitch. “The messaging and browsing delays being experienced by BlackBerry users in Europe, the Middle East, Africa, India, Brazil, Chile and Argentina were caused by a core switch failure within RIM’s infrastructure.
TUKO WAWILI PEKEE YETU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli Mungu anasamehe lakini unapomueleza binadamu mwenzio ubaya huu
unategemea nini................?????????? ??
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana "
"endelea"
... "bosi wangu aliniita nyumbani kwake akaniambia amegundua nimeiba shilingi milioni 50, akasema nisipotoa maelezo ya kutosha atanipeleka polisi. Sasa ukweli mimi naogopa kufungwa, nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikachomoa bastola nikamuua. Yesu atanisamehe?
"utasamehewa"
"Basi wakati nataka kuondoka nikasikia mlango unafunguliwa, kutazama loh, mke wa bosi. Akaniuliza nimemfanya nini mume wake. Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikamuua na yeye. Yesu atanisamehe na hiyo?"
"utasamehewa"
"nikatoka nje, nikawasha gari niondoke lakini mlinzi akakataa kufungua geti akasema amesikia kama kishindo hivi! Nikaona ananiwekea kiwingu. Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Yesu atanisamehe?"
"utasamehewa"
"nikajifungulia geti mwenyewe nikaenda nyumbani, wakati napanga kuja kuungama mtoto wa bosi akabisha hodi nikawaza mambo gani tena. Akasema amerudi nyumbani na kukuta yaloyotokea, lakini akanionyesha diary ya baba yake inayoonesha kuwa nilikuwa na appointment naye kabla hajafa. Nikamuuliza nani mwingine anajua, akasema ameanzia kwangu kisha atakwenda polisi. Nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Diary nikaichoma moto. Yesu atanisamehe na hilo ?"
- kimya........
"padri, Yesu atanisamehe kwa hilo ?"
- kimya.........
Jamaa kutazama kwenye kibox padri hayupo. Lakini kwenye kona moja akaona kabati la ngou za mapadri kama linatikisika. Kufungua akamuona padri kajificha katikati ya majoho anatetemeka.
"sasa baba mbona umenikimbia?"
padri kwa taabu akajibu "nilitazama huku na huku nikagundua kuwa tuko wawili tu peke yetu........"
unategemea nini................??????????

''AISEE ULIYE ANDIKA HII HONGERA KWA UBUNIFU''
10 October, 2011
09 October, 2011
NYERERE DAY 2011 IN WASHINGTON DC
Maadhimisho ya nne ya kuenzi maisha na kazi za Mwl Julius K. Nyerere yatafanyika Oktoba 15, 2011 hapa Washington DC. Mmoja wa waasisi wa Julius Nyerere Comemoration Bwn Rick Tingling akielezea maandalizi ya siku hiyo katika video hapa chini
Itafanyika
AMBATANISHO: MAELEZO KUHUSU MAADHIMISHO HAYO.
**NYOTE MNAKARIBISHWA**
Howard University Basement Auditorium
725, 2225 Georgia Ave, NW, Washington, DC 20059
FROM 3PM-6PM
MAELEKEZO KUELEKEA Howard University Hospital Basement Auditorium:
- Ingilia mlango wa mbele wa Hospitali unaotazamana na Georgia Avenue.
- Pita kwenye dawati la maelezo kwa utambulisho
- Endelea mbele mpaka kwenye "lift" zilizo kama yadi 50 toka dawati la mapokezi.
- Chukua "lift" / elevator kuelekea sakafu ya chini (basement).
- Elekea upande wa kulia ukifuata alama zinazoelekeza ulipo ukumbi.
NOTE: Mabadiliko pekee niliyojulishwa ni kuwa Balozi Mwanaidi Maajar hataweza kuhudhuria kwa kuwa atakuwa nje ya mji.
BARAKA KWAKO NA ASANTE KWA USHIRIKIANO
E-mail- CHANGAMOTO@GMAIL.COM
07 October, 2011
HAPPY 61ST BIRTHDAY H.E.DR JAKAYA KIKWETE
Today 7th October 2011 His Excellency Dr Jakaya Mrisho Kikwete,The 4th and current President of the United Republic of Tanzania celebrates his 61st birthday.UKURASA WAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII FACEBOOK KASEMA ''7th October 2011 is my 61st birthday.Grateful for the opportunities that my nation and the world have given me to serve through all my life and looking forward to do it more.Thank you all for the birthday wishes'' KWA NIABA YA WASOMAJI WA KIBARAZA HIKI NIKUTAKIE MAADHIMISHO MEMA NA YENYE FURAHA YA SIKU YAKO YA KUZALIWA,MUNGU AKUZIDISHIE NGUVU,HEKIMA NA AFYA NJEMA UZIDI KUWATUMIKIA WATANZANIA AMBAO PAMOJA NA MATATIZO YALIYOPO BADO WANA MATUMAINI NA WEWE.HAPPY 61ST BIRTHDAY MR PRESIDENT.
25 September, 2011
JUMAPILI NJEMA ....
Bojo Mujo-Marry me
Theo-Ukhona
Ice Prince-super star
D'Banj-Oliver Twist
Wiz Kid-Tease me
23 September, 2011
22 September, 2011
WAASI LIBYA WAUA FAMILIA WALIYODHANI YA GADDAFI
Waasi nchini Libya wameua watu wanne wakidhani ni familia ya Gaddafi kutokana majina yao ya ukoo kua GADDAFI.Familia hio ambayo ilikua mbioni kuhamia Uingereza kwa usalama zaidi ilikumbana na dhahma hilo saa chache baada ya safari yao kuanza huko Libya.Msemaji wa familia hio akiongea kwa masikitiko makubwa amesema familia hio haina uhusiano wowote na Muammar Gaddafi.Lakini kwakua walijua majina yao yangeweza waponza na kuamua kuondoka bila kufanikiwa mpaka mauti yalipowafika.
Zaidi soma HAPA
Zaidi soma HAPA
15 September, 2011
14 September, 2011
MABADIRIKO TAREHE YA HARAMBEE KUCHANGIA MAAFA ZANZIBAR KWA WATANZANIA UK
Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-Raìsing zilizokuwa zifanyike katika ubalozi wetu london siku ya jumamosi tarehe 17 septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa.
Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako
ASANTENI
MWENYEKITI,
TANZ-UK
13 September, 2011
VITUKO AJALI YA MELI ZANZIBAR
ati mMILIKI WA MV SPICE ISLANDERS HAJULIKANI!!.HII HAIINGII AKILINI HIVI KWELI CHOMBO KIKUBWA KAMA HIKI KILIKUA KINAFANYA BIASHARA NA MMILIKI HAJULIKANI HII INA MAANA GANI?.NDIO TUSEME NDIO MFANO WA BIASHARA BUBU ?.NINA IMANI KAMA KIMEKUA KIMESHINDA TUZO ZA KAZI NZURI BASI MMILIKI ANGEJITOKEZA HARAKA LAKINI KWAKUA KIMELETA AIBU KWA TAIFA NDIO MMLIKI HAJULIKANI.MAMLAKA HUSIKA ZITAWAAMBIA NINI WATANZANIA AMBAO WAMEPOTEZA NDUGU ZAO KWA UZEMBE.JE MV BUKOBA HAIKUTOA FUNZO? JE WAKATI INAONDOKA BANDARINI HAIKUKAGULIWA KAMA INA MZIGO UNAO STAHILI TUKIACHIA MBALI UCHAKAVU WAKE? JE HII NI MOJA YA BIASHARA KUBWA AMBAZO HAZILIPIWI KODI? HAPA SERIKALI ISIPO WAJIBISHA WAHUSIKA BASI NI WAZI WATANZANIA WATAJUA KUNA MWANYA WA RUSHWA WA WAZIWAZI.NA KAMA HII HABARI HAPA CHINI NI KWELI BASI NI AIBU KUBWA!!
>>>>>> SOMA ZAIDI HAPA CHINI NI AJABU>>>>>
BY DR. WOLFGANG H. THOME, ETN UGANDA | SEP 12, 2011
>>>>>> SOMA ZAIDI HAPA CHINI NI AJABU>>>>>
BY DR. WOLFGANG H. THOME, ETN UGANDA | SEP 12, 2011
(eTN) - In an extraordinary, though not unprecedented turn of events, the government of Zanzibar has reportedly denied having any knowledge of the registered owners of the MV Spice Islander. The Spice Islander is the ferry between Unguja - commonly referred to as Zanzibar - and Pemba, that capsized and sunk on September 10, 2011 with over 600 or 800 people on board - the number has yet to be determined - leaving scores of passengers dead in the water and others struggling to survive by clinging on to debris until they could be pulled out of the water by rescuers.
Registration and licensing of ocean going vessels, however, has been confirmed to be a function of government by tourism stakeholders, one of whom said this in an email overnight:
"This is not just unreal but almost mocking those seeking answers, those who lost relatives on the islands. How can a government claim not to be aware of the owners and it is the same government giving them a license.
"We are also disturbed about conflicting figures, some of which put the total passengers to over 800 and then government mouthpieces try to shrink these figures to within the licensed number. What is going on here?
"The tragedy was avoidable if only rules were enforced. There is notorious corruption across all outlets of public services, and they are now just trying to whitewash the whole thing.
"It is high time that government brings us new safe ferries, which can be used to travel from one island to the other without risking our lives every time one sets foot on board."
The central government in Dar es Salaam did, according to media reports, release 300 million Tanzania Ssillings to assist bereaved families with funeral expenses.
The official number of casualties was given by a Zanzibar government spokesperson as just under 200 with nearly 600 survivors, which would put the overall number of passengers on board well over the licensed figure permitted. There is also no certainty over the number of bodies not yet recovered, as apparently no complete passenger manifest was produced prior to the ferry leaving for its last ill-fated journey to Pemba.
Reconciling survivors and casualties is, therefore, literally impossible for the authorities in Zanzibar. It is understood that Kenyan authorities are now also keeping a watch along the shores from across the Pemba Channel, in case any bodies would be spotted across the international border.
A legal aid organization is planning to sue Zanzibar's government and others involved for negligence. For more READ
HARAMBEE NCHINI UINGEREZA KUCHANGIA WAHANGA WA AJALI YA MELI ZANZIBAR
Jumuiya ya waTanzania nchini Uingereza TANZ-UK ikishirikiana na Jumuiya ya Wanzanzibar waishio Uingereza (ZAWA), Urban Pulse na Miss Jestina George Blog imeandaa harambee (fundrising) maalum kwa ajili ya kuweza kuwasaidia waathirika wa ajali ya meli ya Spice Islander iliyotokea Nungwi njiani kuelekea Pemba. Fundrising hii itafanyika katika Ubalozi wetu hapa London tarehe 17 Septemba 2011 Kuanzia saa nane mchana.
Tunawaomba Watanzania wote mlioko hapa nchini Uingereza kutoka jumuiya mbalimbali,vyama vya kisiasa, wafanyabiashara, wanafunzi na hata wasio Watanzania mjitokeze kwa wingi ili kuweza kujumuika nasi na kufanikisha zoezi hili. Hivyo basi tunaomba mwenye fedha au chochote kile cha kuweza kuthamanishwa tunaomba tuweze kuja nacho na kitafanyiwa mnada. Mfano, wenye biashara wanaweza wakaleta bidhaa kiasi ambazo zitafanyiwa mnada ambapo ziada itakayopatikana itakuwa sehemu ya mfuko tutakaokuwa tunautafuta.
anwani ni; 3 Stratford Place, London, W1C 1AS. Muda ni saa nane mchana (2pm sharp).
Kwa maelezo zaidi tunaomba uwasiline na:-
Mwenyekiti Tanz-UK 07766856565,
ZAWA 07538063536,
TA London 07404332910
ASANTENI.
MWENYEKITI,
TANZ-UK
POLENI WAFIWA NA MAJERUHI AJALI YA MELI ZANZIBAR
10/09/2011
Kweli ni pigo kubwa kwa mara nyingine Taifa lapoteza ndugu zetu katika ajali ya meli Zanzibar.Pole nyingi ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na wapendwa wao.
Poleni sana ndugu zetu na tusichoke kumuomba Mungu atujalie hekima na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu pia awajalie viongozi wetu hekima zaidi waweze kukwepa majanga yaliyo ndani ya uwezo.
Mwenyezi mungu azipumzishe roho za marehemu mahali pema peponi na kuwaponya haraka walio nusurika. AMEN
09 September, 2011
08 September, 2011
ANASEMA MUACHE KUMCHAFUA!!!
HII BADO NI CHANGAMOTO KUBWA KWA SERIKALI
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Daniel Ole Njoolay akikabidhi ambulansi ya "kisasa" aina ya bajaj kwa mkuu wa wilaya ya Mpanda, Dk Rajab Rutengwe (kushoto). Ambulansi za miguu mitatu zimesambazwa na serikali kusaidia kutoa huduma za afya vijijini ambapo mkoa wa Rukwa utapokea miguu hii mitatu 20. Picha na Hamza Temba!!!
Maswali:
>>Je huyo mgonjwa atapataje huduma ya kwanza?
>>Je dereva atakua daktari/muuguzi ama?
>>Je kwa barabara tulizo nazo hii miguu mitatu inakidhi kiwango?
Maoni:
>>Serikali tunashukuru kwa kutoa huduma ambayo ni tatizo sehemu nyingi Tanzania lakini hii haikidhi mahitaji kwa karne hii ya 21 bila kusahau miundombinu yetu ambayo bado sio mizuri sehemu nyingi.
>>Ni bora zinunuliwe gari hata za kawaida (kama lengo ni kubana matumizi of which sina hakika kama hizo bajaji ni bei ndogo!) japo kufikisha mgonjwa hospitali ila sio pikipiki kwani ni rahisi mgonjwa kudhurika na jua,mvua (utelezi wa barabara kipindi cha masika), vumbi,au hata ajali kwani ni rahisi kupata ajali kwa pikipiki kuliko gari.
>>Kununua pikipiki kama nyenzo ya kusafirishia wagonjwa wakati wewe unatembelea Landcruiser V8 (4.7Litre posh and expensive) hakuleti picha nzuri kwa wapiga kura na walipa kodi kwa ujumla au kwa maneno mengine serikali haijali wananchi ambao wameipa ridhaa ya kuwatumikia kwani hata
matunda ya kodi zao hayaridhishi!
Free Thinking aka Mpayukaji naye katoa maoni yake kuhusiana na changamoto hii yasome HAPA
matunda ya kodi zao hayaridhishi!
Free Thinking aka Mpayukaji naye katoa maoni yake kuhusiana na changamoto hii yasome HAPA
TMK CHEGGE & TEMBA NDANI YA COVENTRY KESHO IJUMAA
Ijumaa hii ya tarehe 09/09/2011 wapenzi wa TMK watakua wanapata burudani ya nguvu toka kwa Chegge
& Temba hapa |Coventry.Wale tusio penda stress basi tukanyooshe mkono mmoja juu pale PALMS BAR, Address ni 116 FAR GOSFORD CV1 5EA.Tuonane huko!!
Tukaweke mkono mmoja kama hivi!!
Subscribe to:
Posts (Atom)