Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label Egypt. Show all posts

04 August, 2011
HOSNI MUBARAK KUVUNA ALICHOPANDA!
Aliyekua Rais wa Misri (Egypt) Hosni Mubarak-83 ambaye alijiuzulu kufuatia maandamano makubwa kufuatia tuhuma za rushwa na uongozi wa mabavu.Mnamo April,2011 aliwekwa chini ya ulinzi bila kujali afya yake iliyozorota na jana (Jumatano Agasti 03,2011) pamoja na hali yake kiafya kuyumba alifikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya rushwa iliyo kithiri,kuua waandamanaji jitihada ambazo hazikuzaa matunda mpaka alipo achia ngazi mwezi Januari 2011. Wakati huo huo hali ya Misri bado tete kutokana mvurugano uliopo kati ya serikali ya sasa na waombolezaji ambao walizuiwa kuandamana ikiwa ni ishara ya kuwakumbuka watu waliopoteza maisha katika harakati za kumtoa Mubarak
Mubarak pamoja na mwanaye wamekana mashataka dhidi ya Rushwa na mauaji ya waandamanaji na kwa sasa waandamanaji wameahidi kutulia wakisubiri hukumu itolewe kwa Mubarak na vibaraka wake.Japo waliofika mahakamani waliweza wafukuza polisi kwa mawe. HII NI CHANGAMOTO KWA SERIKALI ZETU KATIKA UWAJIBIKAJI NA MATUMIZI YA NGUVU WANAPOWAKOSEA WANANCHI (WAPIGA KURA),KASHFA ZA RUSHWA NA UWAJIBISHWAJI.
Kwa habari zaidi soma HAPA,HAPA,HAPA na HAPA
23 February, 2011
Mtoto apewa jina 'Facebook' huko Egypt
Mtoto mmoja ambaye kazaliwa hivi karibuni inchini Misri (Egypt) kapewa jina la 'Facebook' na wazazi wake ikiwa ni kumbukumbu ya mchango wa mtandao wa kijamii wa facebook kusaidia kusambaza habari nchini Misri na hata kufanikiwa kuung'oa utawala wa muda mrefu wa Hosni Mubaraka.
Soma zaidi hapa: http://www.digitaljournal.com/article/303954

12 February, 2011
Mubarak’s Swiss assets frozen...(Vijisenti kapuni)
While Egyptians celebrate the departure of Mr Mubarak the president of Egypt who ruled the country for 30 years; The Swiss government has announced the freeze of all possible Mubarak’s assets after his departure late yesterday. The process includes any potential asset belonging to the then president and his associates. Apparently the Global Financial Integrity, a Washington group that tracks corruption in the developing world, estimates $57 Billion (vijisenti) illicit assets left Egypt between 2000 and 2008.
The freeze will prevent Mr. Mubarak access to the money until its proven the money were legally acquired and the source is succinctly clarified. Recent information says similar freeze is been applied to the Ex-President of Tunisia Zine El Abidine Ben Ali.
Read more: http://online.wsj.com/article/SB10001424052748704329104576138451664628050.html?mod=googlenews_wsj#articleTabs%3Darticle (11-02-2011)
Blogger’s opinion: Developing countries leaders must know the responsibilities and honor that the citizens have bestowed in them. It’s no doubt they know accountability is a must for they were put in office by the so called people power. It’s therefore clear that, the same people who have the right and power to remove irresponsible leaders out of office.
In essence being in office as a representative of the people does not mean the time to represent the family, friends and yourself. But working diligently to represent fully the people in all aspects of life; I. e social, political, economical, technological and cultural aspects that could foster the national development in general.
NB: I wish constitutions had acts that allow electing leaders ‘IN’ and ‘OUT’ of office. This means irresponsible leaders, power mongers, puppets and corrupt leaders could have been voted out of office in an orderly, democratic and peaceful means. Easy!

11 February, 2011
Mubaraka aachia ngazi leo..
Aliyekua Rais wa Misri (Egypt) bwana Hosni Mubaraka aachia ngazi baada ya mgomo wa kudai aachie madaraka kudumu kwa siku 18.Mubaraka amekua akitoa ahadi mbali mbali kuwapooza wananchi ambao wamemchoka wakimtaka aondoke madarakani mara moja ndipo wakae kuzungumza mustakabari wa nchi hiyo ya Misri.Ahadi hizo ni pamoja na kusema mtoto wake ama yeye mwenyewe hawata gombea muhula ujao.Wakati huo huo aliweza kumteua makamu wake mpya ambaye wanachi waliweza msikiliza japo kidogo.
Zoezi hilo lilionekana kushindikana kwani mgomo uliendelea kama kawaida hata baada ya kutangaza kua amempunguzia makamu huyo baadhi ya madaraka yake.Pia aliahidi kuachia ngazi ila wampe muda na sio kumuondoa ghafla kitu ambacho kingeleta machafuko inchini humo.Wakati huohuo Uingereza na Marekani zilipinga hio kali kwa kusema wananchi ndio walio amua, hakuna nchi itamlazimisha ajiuzulu ila asikilize kile wanachi wanataka.
Kabla ya giza kuingia inchini Misri siku ya tar 11/02/2011 vyombo vya habari ikiwemo BBC vilitangaza kutoweka kwake mjini Cairo ambako ndio makao makuu ya nchi hio na kuelekea sharm-el sheikh (Mwambao mwa bahari Nyekundu -Misri) kwa mapumziko baada ya uongozi wake kudhoofu kiasi cha kwamba jeshi la nchi hio lime mshauri aachie ngazi.
Rais huyo aliyeshikilia madaraka kwa miongo takribani mitatu mfululizo tena bila dalili ya kuachia ngazi pamoja na kwamba ni mzee anaye hitaji kupumzika, amelazimika kuachia ngazi kwa shinikizo kubwa la wanachi wake walio jaa nje ya Ikulu wakimtaka ajiuzulu kwani wamemchoka.Misri kwa sasa ipo chini ya jeshi la nchi hio mpaka uchaguzi utakapo fanyika mapema mwaka huu.

Subscribe to:
Posts (Atom)