Aliyekua boss wa IMF akiwa anafuraha baada ya kuachiwa huru
Aliyekua mkurugenzi wa shirika la fedha duniani (IMF) bwana Dominique Strauss Kahn (62) aachiwa huru baada ya madai ya kutaka kubaka muhudumu wa Hotel May 14,2011 jijini New York kutiliwa mashaka.Uamuzi huo umetolewa na mahakama iliyokua ikisikiliza kesi hio Ijumaa ya tarehe 1 July (jana) baada ya kufanya uchunguzi wa madai na kukuta mdai amedanganya na kuchanganya maelezo kitu kinacho ashilia ni mwongo na kumfanya mdaiwa kuachiwa huru bila dhamana na kuondolewa vikwazo vyote.Aidha kesi hio ambayo inaelekea kufutwa haina haraka ya kusikilizwa tena kama mwanzo na mdaiwa ameombwa kuhudhuria mahakamani mara kesi itapo tajwa!.
Kesi zote zingekua zinasikilizwa haraka hivi watu wasingekesha na kupata shida mahabusu tena kwa muda mrefu au huyu kwasababu ana vijisenti?
Kwa habari zaidi SOMA HAPA
Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label JULY 1. Show all posts
Showing posts with label JULY 1. Show all posts
02 July, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)
