Christine Lagarde Boss mpya wa IMF
Hatimaye aliyekua waziri wa fedha nchini ufaransa (France) Bi Christine Lagarde, 55 awa mkuu wa IMF baada ya aliyekua mkurugenzi wa shirika hilo bwana Dominique Strauss-Kahn kujiuzulu kutokana na kashifa ya kutaka kubaka mhudumu wa hoteli nchini Marekani May 2011.
Bi Lagarde ni mwanamke pekee ambaye aliingia katika kinyang'anyiro hicho na watu wengine tisa akiwemo Mohamed El-Erian (Egypt),Stanley Fischer (Israel),Gordon Brown (UK),Kemal Dervis (Turkey),Peer Steinbrueck (Germany),Montek Singh Ahluwalia (India),Agustin Carstens (Mexico),Trevor Manuel (South Africa) na Axel Weber kutoka Ujerumani (Germany)
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari Bi Lagarde alichuana vikali na Agustin kutoka Mexico na hatimaye kushinda baada ya kuungwa mkono na jumuiya ya Ulaya pamoja na Marekani.Bi Lagarde anatarajia kuanza kazi rasmi kama mkurugenzi wa IMF tarehe 5 July 2011.Wanawake nao wanaweza tuwape nafasi!
Kwa habari zaidi SOMA HAPA
Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label IMF NEW DIRECTOR. Show all posts
Showing posts with label IMF NEW DIRECTOR. Show all posts
29 June, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)