Watu zaidi ya 700 waliokua katika Hija huko Falme za kiarabu (Saudi Arabia) mji wa Mecca wahofiwa kufa mapema leo.Habari zilizojiri ni kwamba kulikua na mkusanyiko wa watu takribani Millioni mbili (2M) waliokua Hija. Mapema leo wakiwa wanaelekea eneo ambalo limetengwa maalum na hua wanaenda kurusha mawe kuashiria kumpiga shetani.
Wakiwa katika harakati za kufika eneo la tukio walijikuta wanakutana na wimbi la watu waliokua wakielekea upande walikotoka. Hio ilisababisha kitu kama wimbi la kusukumana wengine kuanguka na kukanyagwa hadi kufa na wengine kukosa hewa. Zaidi SOMA HAPA
SOURCE:YAHOO NEWS Click here for details
Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label Saudi Arabia. Show all posts
Showing posts with label Saudi Arabia. Show all posts
24 September, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)