Habari zilizo jiri hivi karibuni toka kundi la kigaidi la Al-Qaeda ni kwamba kiongozi wao Osama Bin Laden ni kweli ameuawa na Marekani nchini Pakistan eneo la Abbottabad.Habari hizo zimenaswa kwenye mtandao unaosadikika kutumiwa na kundi hilo wakidai shangwe za Marekani kwa kifo cha kiongozi wao kitageuka kua huzuni hivi karibuni.Hata hivyo kundi hilo limeahidi kuwepo kwa mashambulizi mapya kwa Marekani na washirika wake kusherekea miaka kumi ya mauaji ya 9/11 Marekani.Hio ni sambamba na kuishinikiza Pakistan kuandamana kwa kitendo cha Marekani kumuua Osama.
Katika upande mwingine Marekani imedai shambulizi la kumuua Osama limewawezesha kupata habari ambayo Osama ali rekodi siku chache baada ya kifo chake.Habari hio ilikua ni ya mashambulizi ya kulipua Reli na treni huko Marekani.
Kwa habari zaidi soma hapa: http://uk.news.yahoo.com/bin-laden-plotted-attack-us-trains-022222947.html
na hapa : http://news.sky.com/skynews/Home/World-News/Video---Osama-Bin-Laden-Barack-Obama-At-Ground-Zero-Amid-Pakistan-Compound-Raid-Story-Doubts/Article/201105115986145?lpos=World_News_Third_Home_Page_Article_Teaser_Region__4&lid=ARTICLE_15986145_Video_-_Osama_Bin_Laden%3A_Barack_Obama_At_Ground_Zero_Amid_Pakistan_Compound_Raid_Story_Doubts
Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label OSAMA BIN LADEN CONFIRMED DEAD. Show all posts
Showing posts with label OSAMA BIN LADEN CONFIRMED DEAD. Show all posts
06 May, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)