Aliyekua waziri wa haki za familia na maendeleo ya wanawake Bi Pauline Nyiramasuhuko afungwa maisha kufuatia madai ya kushiriki katika mauaji ya watusi nchini Rwanda mwaka 1994.Bi Pauline amehukumiwa kifungo cha maisha sambamba na mtoto wake Arsene Shalom Ntahobali ambaye alikua mgambo mashuhuri katika mauaji hayo.Mauaji ya kikabila nchini Rwanda yalianza rasmi mara baada ya kutunguliwa ndege na kumuua aliyekua Rais wa nchi hio JUVENAL HABYARIMANA April 1994 hatimaye kuanza mauaji ya kikabila baina ya wahutu na watusi na kufanya idadi ya waliopoteza maisha hususani kabila la watusi na wahutu kidogo kufikia laki nane (800,000).
Kwa habari zaidi SOMA HAPA
Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
Showing posts with label Mauaji Rwanda. Show all posts
Showing posts with label Mauaji Rwanda. Show all posts
25 June, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)