Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
17 March, 2011
UN YASHINDWA FIKIA MWAFAKA KUHUSU LIBYA
UN
UN mpaka sasa imeshindwa kufikia muafaka kuhusiana na machafuko ya ksiasa nchini Libya.Hali hio imejionyesha baada ya baraza la usalama la umoja wa mataifa kumaliza kikao jumatano ya tar 16/03/2011 bila ya makubaliano dhidi hatua za kudhibiti ghasia zinazozidi kupamba moto mpaka hivi sasa. Wakati huo huo mtoto wa Gaddafi Seif al-Islam amesema ndani ya masaa 24 watakua wameshachukua jimbo lililo chini ya wapinzani (Benghazi) na wapinzani hao wameambiwa waondoke Libya. (Voice of America)
Yafuatayo ni maoni ya nchi baadhi toka baraza la usalama l a umoja wa mataifa: Ufaransa & Uingereza UN itumie jeshi kuzuia machafuko Libya Italia:Haitahusika kama jeshi litatumika kutuliza ghasia Libya Slovania: Kuingia kijeshi Libya ni hatari zaidi US: Tupo tayari kuingia kijeshi Libya kwa mgongo wa UN. China:Kuingia kijeshi si haki
Kikao kingine cha dharura cha baraza hilo kukaa leo Tar 17/03/2011 kujadili hitima ya ghasia inchini Libya
No comments:
Post a Comment