Chuo United Kingdom (UK) au Gari i.e.Vogue 4x4, Toyota VX,Lexus,Rav4,Avensis Saloon BMW X5,Jaguar,Vw Touareg Passat,Golf,Ford,Land Rover TDi;TD5-6,Freelander, Honda-CRV, Nissan, Mercedes Benz,Q7/AUDI,Suzuki Vitara,Grand Vitara,Volvo,Cadillac,etc,Scania 113,124 n.k. Burudani i.e Original Plasma TV, Powerful Home Theatres,Projectors,Speakers, Dj Mixers,Digital Cameras, Laptops, Massive Data Storage Facilities(External/Internal HDD).Contact me via rijaki@ymail.com
26 May, 2011
LEO TUCHEKE KIDOGO...
chanzo:orijino komedi
25 May, 2011
24 May, 2011
FACEBOOK KIBONGO BONGO..
Mimi nimejiunga facebook ili kukutana na marafiki niliopotezana nao muda mrefu mfano Classmates,School mates, University mates,Work/field mates na wengine ili kujuliana hali (kuwasilina kama marafiki), kudumisha urafiki na kupashana habari zinazo tokea kila mtu alipo kwa wakati ule.Facebook inasaidia kupata marafiki mlipotezana nao hata marafiki wapya na kuwakutanisha
Facebook logo
Facebook inasaidia kukutanisha watu kwa matukio mbalimbali ya kijamii mfano weddings,parties,kucheza games mbalimbali,kutangaza biashara; kisiasa mfano: mikutano,maandamano; kisayansi mfano: kuendesha mijadala ya kitaaluma na mambo ya teknolojia i.e IT,.Huko Egypt (Misri) Facebook imesaidia kukutanisha watu ambao wameweza hata kuing'oa serikali ya muda mrefu ya Hosni Mubarak (14 October 1981 – 11 February 2011) na hata watoto kubatizwa 'Facebook' kama kumbukumbu ya tukio hilo.
Watanzania wengi tumejiunga Facebook kwa kasi kubwa tu,ni vizuri japo sijajua kama matumizi ya huu mtandao yapo sawa! Kwa mtumiaji wa facebook unaweza kua unanielewa.Wengine picha tunazoweka humo ni utata mtupu mfano mtu kaweka picha ya makalio yake tu yakiwa tupu ama nguo inayo onyesha maungo,shanga kiunoni,lips peke yake,au mwili wote ukiwa na chupi tu,kifua wazi ili iweje? au mtu kaweka picha yenye maneno 'I've the p**sy (ni tusi siwezi andika lote) so I make the rules' ili iweje?.
Tujiulize tumejiunga facebook ili iweje?.Mtu unakuta yupo ofisini the whole day yuko online (sio idle) facebook hio kazi anafanya saa ngapi? Mimi nimeona facebook kwa bongo ni 'more of a dating site' je wewe unaionaje? au unaichukuliaje?.Kiufupi madhara ya facebook ni makubwa kuliko, mfano watu wengi wamefukuzwa kazi,ndoa nyingi zimevunjika,watu wengi wameuawa kwa kupitia facebook hasa wale wasio ogopa kukutana mtu usiye mjua,kubakwa,kufungwa, mahusiano mengi yamevunjwa,na watu wengi sasahivi hufuta (deactivate) akaunti facebook wanapooa,kuolewa ama kugonganisha wapenzi.Be careful na facebook kabla huja umbuka...na pia nijibu......
Wewe umejiunga facebook ili iweje?
Kiraka amejiunga facebook ili......
Ochu anajibu hilo swali msikilize hapa chini
UFUNGUKAJI WA WASANII WETU OVYO!!
Hapa chini ni video ya Clouds Tv 'Take one' 'MTU KATI' na Zamaradi.Angalia vizuri hii Video clip then sikiliza mtu kama msanii ambaye ni kioo cha jamii anapo ongea katika chombo cha habari.Kuna kipengele anasema usanii wake umemuweka karibu na mabinti,imempa mademu,imemuongezea upendo kwa mademu!!! huyu ndio kioo cha jamii!! ...Ninge elewa angesema usanii wake umemuweka karibu na watu SIO MADEMU (HII NI PUMBA).Pia anasema hua anafanya ukauzu kwa mademu wanao mtega kwa kuvaa miwani tinted kwa maana hio ''katufanyia ukauzu Watanzania tunao angalia hii interview kwa kutuvalia hio miwani'' MAELEZO YAKE HAYAJA JITOSHELEZA!!
Si kwamba na 'hate' kwanza simfahamu namsikia tu....Kiukweli ameongea kituko cha mwaka coz movie hawangalii mademu peke yao,aidha kwenye hii interview MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.. nimependa kipengele cha matumizi mabaya ya lugha katika movie zetu (movie editors kama wapo wawe makini na kazi yao) na sehemu nyingine zote uozo mtupu na ameaibisha wasanii wenzie (mtazamo wangu)...sikiliza halafu nipe mtazamo wako pia (ni mtazamo tu)
Vituko vingine vya wasanii angalia hapa: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/hasheem-thabeet-afanya

Msikilize Hemed akifunguka hapa chini (Aibu)
(kwa hisani ya Zamaradi Mketema)
Vituko vingine vya wasanii angalia hapa: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/hasheem-thabeet-afanya
By
Rik Kilasi
On
Tuesday, May 24, 2011
0
comments
Labels:
BONGO CELEBS,
HEMED,
TAKE ONE,
ZAMARADI MKETEMA
SIMBA SC KUVAANA NA BIRMINGHAM CITY FC JULY 7 MWAKA HUU
Timu ya mpira Simba Sports Club ya Dar es salaam kuvaana na Birmingham City Football Club ya Uingereza Julai 7,2011.Hayo yatategemea kuthibitishwa baada ya timu ya wataalamu toka Uingereza kuona kiwango cha uwanja na mazingira kiujumla kimichezo baada ya kukagua tarehe 16/05/2011.Kama mechi hio itaridhiwa Birmingham City ita ambatana na mashabiki wasio pungua 1000 watakao jilipia gharama za safari na malazi wenyewe wakati timu itajipatia vijisenti visivyo pungua Dola Million 1.2 na kulala hotel nzuri.
kikosi cha timu ya simba
Mpaka sasa safari ya BCFC kwenda Tanzania haijathibitishwa baada ya ukaguzi ulio pangwa ufanywe tarehe tajwa hapo juu na pia kutokana na ratiba za mechi za hapa ulaya.Baada ya hayo yote kukamilika ndipo safari itathibitishwa.Pia nimetembelea mtandao wa Simba SC (http://simbasportsclub.co.tz/v3/) hakuna taarifa yoyote kuhusu mechi hio sasa sijajua mashabaki tutajua nini kinaendelea maana menu zenyewe hazina maelezo yoyote yaani hata menu iko empty: Mfano events,matches,News hakuna kitu-sijui labda nimeingia sio site yenyewe kuna anayejua anipe site halisi please! maana kama ndio yenyewe bado hatupo siriazi kiukweli maana haina cha maana zaidi ya orodha ya viongozi,wachezaji na historia ya timu!!!!!.Angalieni Yanga http://www.yangasc.com/
Anyways, hongereni Simba kama hio mechi itachezwa na nawatakieni ushindi dhidi ya wazungu!.
soma zaidi hapa:http://www.goal.com/en/news/89/africa/2011/05/03/2469421/birmingham-city-officials-to-inspect-facilities-in-tanzania
: http://www.birminghampost.net/midlands-birmingham-sport/west-midlands-sports/birmingham-city-fc/2011/04/18/birmingham-city-tanzania-confirmed-as-potential-destination-for-pre-season-tour-97319-28542251/

LIMO YA OBAMA MAARUFU KAMA ''BEAST'' YABUMA ZIARANI IRELAND
Gari moja wapo katika msafara wa Obama huko Ireland yabuma baada ya kugonga tuta nje ya ubalozi wa Marekani jijini Dublin-Ireland.Gari hilo aina ya Cadillac la Mr Obama lenye jina maarufu kama ''The Beast'' Yaani 'Mnyama' kwa kimakonde lilisekana kubeba wataalamu wa ulinzi katika msafara huo wakati Rais wa Marekani Barack Obama akiwa ziarani nchini humo jana tarehe 23/05/2011.
Umati mkubwa wa watu umeshuhudia tukio hilo 'live' ambapo mlio mkubwa ulitokea baada ya chesis lake kugusa tuta na kushindwa kwenda mbele na muda si mrefu waliletewa gari lingine kuendelea na msafara.

Kama uonavyo kwenye video hapo juu hicho ndicho kilichotokea.Limo/The Beast hilo lina urefu wa futi 18 na uzito wa tani 8 na upana wa chuma cha bodi wa inch 8 halipitishi bomu wala risasi na lina lina oxygen yake ndani.Rais Obama akiwa ndani ya hilo gari nick name yake inakua Cadillac one na sio The Beast. The beast inasemekana kua na camera kila kona,shotguns na vingine vingi kwa ulinzi zaidi
Mafundi wakinasua The Beast iliponasa
The Beast katika mchoro
(chanzo:dailymail)
23 May, 2011
UNAIKUMBUKA HII??
Hiki kiatu kilikua maarufu sana zamani siku hizi sikioni tena sijui bado kinavaliwa? Na kama kinavaliwa sijui utaanguka mara ngapi kwenye hizi barabara zetu? Hiki huvaliwa na suruali yake (hasa draft) ambayo ni pana kwa chini nyembamba karibia kubana fulani kwenye magoti.Si kila mtu alikua na kiatu kama hiki jina kama sikosei ni Laison (kama kuna jina lingine usisite nitafurahi kulijua). Pia sikumbuki ni miaka gani ila zamani niliweza ona watu wachache wanavaa na ilikua fashion by then.Wewe je umewahi kuona hiki kiatu? je kina kukumbusha nini??
21 May, 2011
ATI UMASIKINI WA TANZANIA NI LAANA???
Hebu sikiliza mjadala huo hapo chini na useme mtazamo wako kama ni laana au tunajitakia kua masikini? je kila mmoja wetu katika jamii tunayo ishi anawajibika kwa nafasi yake au ndio tunanyoosheana vidole kuonyesha kijibanzi kwenye jicho la jirani wakati sisi tuna boriti machoni mwetu? Penye wengi hapa haribiki neno, maswali ni mengi ila kwa sasa tuangalie haya kwanza kama ni laana,tunajitakia,hatuwajibiki,hatuja wezeshwa,uzembe,bora liende,aliye shiba hamjui mwenye njaa au ndio niseme kama wanavyosema kwetu kule ''TUNGAYA SIDA'' YAANI HATUNA SHIDA KABISAA YAANI YOTE SAWA TU?? SEMA USIKIKE!!!
SEHEMU YA KWANZA
SEHEMU YA PILI
CHANZO:MWANAKIJIJI
20 May, 2011
DOLLAR MILLION 6 ZAMUOKOA
Hatimaye aliyekua Mkurugenzi wa IMF Dominique Strauss-khan akubaliwa kutoka rumande kwa dhamana ya Dollar Million 6 ( $6m) na masharti makali ikiwemo kua chini ya ulinzi kutoka kampuni binafsi kwa gharama ya Dollar laki mbili kwa mwezi ambazo ni juu yake,kuwekwa chombo cha kisasa mguuni kitakacho onyesha alipo kwa saa 24 kila siku,kufungwa kwa video camera katika nyumba atakayo kaa na alarms kumzuia asitoke.
Mheshimiwa huyo ambaye mpaka sasa amejihudhuru wadhifa wake kama Mkurugenzi wa IMF kwa takribani miaka minne kutokana na kashfa ya kutaka kubaka mhudumu wa hotel huko Marekani,ataachiwa na kwenda kuishi kwa muda katika nyumba ya muda ambako mkewe Heiress, Anne Sinclair, mwanahabari na Millionea wa kifaransa amempangishia wakati akisubiri kesi yake kusikilizwa hivi karibuni.
Zaidi soma hapa kwa kiingereza: http://www.dailymail.co.uk/news/article-1388834/Wife-daughter-disgraced-IMF-boss-arrive-court-appeal-bail-hearing.html#ixzz1MrCCmdJV

19 May, 2011
VIJISENTI VINAPOSHINDWA KUKUSAIDIA..
Mkurugenzi mkuu wa shirika la fedha duniani (IMF) bwana Dominique Strauss-Kahn ambaye pia ni mwanasheria,mwanasiasa na mwanauchumi wa kifaransa amewekwa jela Marekani kufuatia madai ya kutaka kumbaka mhudumu wa Hotel (Hotel Maid).Baada ya kukamatwa na kufikishwa mahakamani kufuatia kitendo hicho bwana Strauss-Kahn kupitia mwanasheria wake aliomba aachiwe kwa dhamana ya (vijisenti) Dollar Million moja ($1m) mahakama ilikataa dhamana hio na kumrudisha rumande.
Aliyekua mkurugenzi wa IMF-Dominique Strauss-kahn
Kufuatia skendo hio mkuu huyo wa IMF amelazimika kujiuzulu wadhifa wake ambapo Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamesha tangaza kinyang'anyiro na wagombea wa awali ni kama ifuatavyo:-
Mohamed El-Erian, Egypt
Stanley Fischer, Israel
Gordon Brown, UK
Kemal Dervis, Turkey
Peer Steinbrueck, Germany
Montek Singh Ahluwalia, India
Christine Lagarde, France
Agustin Carstens, Mexico
Trevor Manuel, South Africa
Axel Weber, Germany
Aliyekua mkurugenzi wa IMF-Dominique Strauss-kahn
Kufuatia skendo hio mkuu huyo wa IMF amelazimika kujiuzulu wadhifa wake ambapo Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamesha tangaza kinyang'anyiro na wagombea wa awali ni kama ifuatavyo:-
ETI JUMAMOSI TAREHE 21/05/2011 MWISHO WA DUNIA???!!
Imeripotiwa kutokea wahubiri wa kidini jijini New York-Marekani kufuatia wanacho dai mwisho wa dunia ni tarehe 21/05/2011 ambayo ni siku ya Jumamosi.Wahubiri hao ambao wamekua wakifanya kazi hio bila kuchoka wametoa vielelezo mbali mbali kuthibitisha tukio hilo.Zaidi wamedai tukio hilo si lazima litokee wakati mmoja duniani kote kufuatia kutofautiana masaa lakini lazima iwe tarehe iliyo tajwa!!
Ni matumaini yangu hayata tokea yale ya Kibwetere wa Uganda kuchoma moto waumini wake wanao sadikika kufika 1000 ndani ya kanisa la '' Amri kumi za Mungu'' eti mwisho wa dunia umefika na kubaki yeye na bosi msaidizi wake Bi Credonia Mwerinde nje mnamo Machi 17 mwaka 2000.Hata hivyo mpaka sasa haijulikani kama Kibwetere na mwenzie wapo hai na polisi wa Uganda kwa kushirikiana na wale wa kimataifa (Interpol) bado wana mtafuta Kibwetere popote alipo Duniani. Pamoja na kua na maswali mia nane kidogo mie yangu macho!!
Kwa habari zaidi soma hapa:http://uk.news.yahoo.com/preachers-prophesying-end-world-york-000338169.html
Zaidi kuhusu Kibwetere soma hapa:http://www.culteducation.com/kibwetere.html

18 May, 2011
50 CENT IS BACK, ANAKWAMBIA ''DIAL 911''
NB:****SONG CONTAIN STRONG LANGUAGE,PLEASE BE WARNED****
17 May, 2011
15 May, 2011
BAFANA BAFANA 1 TAIFA STARS 0
Timu ya Taifa ya Africa kusini maarufu kama Bafana Bafana au Boys Boys or Go Boys Go Boys jana Jumamosi ya tarehe 14/05/2011 imeibanjua Taifa Stars ya Tanzania 1-0 kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.Bafana Bafana ilijipatia goli lake hilo kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wake Siyabonga Sangweni (29) jezi namba 44.Hilo ndo lilikua gori pekee lililo ipa Bafana Bafana ushindi mpaka mwisho wa mchezo
Habari zaidi za mechi hio bonyeza link:
http://supersport.com/football/bafana/news/110514/Bafana_defeat_Taifa_Stars
Man of the match Siyabonga Sangweni
http://supersport.com/football/bafana/news/110514/Bafana_defeat_Taifa_Stars
10 May, 2011
09 May, 2011
DUNIA IMEKWISHA......
YAANI NIMETAMANI KUJIFICHA BAADA YA KUONA HII KITU KUCHEKA IMESHINDIKANA NA SINA CHA KUONGEA ZAIDI HAPA SEE FOR YOURSELF....
SOURCE:NTV
07 May, 2011
SHAME ON YOU SCAMMERS!!!!!!!!!
''Can I Give You This Trust?....NO THANK YOU!!... Reply Immediately.(ILI UIBIWE HARAKA LOL)
Dear Friend,
I am ( Mr.David Chalimo )The Head of files/Recording Department in a bank Burkina Faso in African.I Hoped that you will not expose or betray this trust and confident that i am about to repose on you for the mutual benefit of our both families.I need your urgent assistance in transferring the sum of $ 15 million U.S dollars ( fifteen million U.S dollars) into your account.
The money has been dormant for yearas in our Bank here without any body coming for it.I want to release the money to you as the nearest person to our deceased customer(the owner of the account)who died a long witah his supposed next of kin in an air crash few years ago.I don't want the money to go into our Bank treasury account as unclaimed fund. So this is the reason why i contacted you, so that we will release the money to you as the nearest person to the deceased customer.
Please I would like you to keep this proposal as a top secret or delete it from your mail box ,if you are not interested.Upon receipt of your reply,I will send you full details on how the business will be executed and a text of application which you will fill and send to the bank for the release of the money to your account.Also note that you will have 40% of the above mentioned sum, if you agree to transact the business with me while 60% will be for me.
I will not fail to bring to your notice that risk is free in this transaction and that you should not entertain any atom of fear as all required arrangements have been made for the transfer.Please for full trust,don't forget to reply with your contact information like-:Your Name,Age,Marital Status.,Cell Phone
Number,Your Country,Your House Address,Your Occupation,Sex,Religion,Your ID Card Or International Passport and Your Private E-mail Address for full trust.
Looking forward to haear from you immediately
Mr.David Chalimo

06 May, 2011
JOSE MOURINHO APEWA BAN YA MECHI TANO
Jose Mourinho (Meneja Real Mdrid)
Meneja wa timu ya Real Madrid Jose Mourinho apewa ban ya mechi tano ikiwa ni adhabu kutoka UEFA kufuatia kushangilia kinafiki baada ya kutolewa uwanjani mchezaji wa Real Madrid 'Pepe' na baadae Wolfgang Stark mwamuzi katika mechi hio kali baina ya Barcelona na Real Madrid kumpa kadi nyekundu Jose ambaye alionekana kushangilia adhabu ya mchezaji wake. Adhabu hio ni sambamba na faini ya Euro 50,000 kwa Jose Mourinho na 20,000 Euros kwa kilabu hicho kufuatia utovu wa nidhamu wa washangiliaji wa Real Madrid uwanjani siku hio ya mchezo ambapo Barcelona waliibuka kidedea kwa 2-0 usiku huo dhidi ya Real Madrid.Pepe mwenyewepia alipewa ban ya mechi moja na kwa upande wa boss wake (Mourinho) amesha tumikia adhabu hio kwa kuto hudhuria mechi moja na kilabu hicho kimedai kukata rufaa kwa adhabu zilizo tolewa mapema iwezekanavyo.
zaidi soma hapa: http://www.skysports.com/story/0,,11833_6916716,00.html
AL-QAEDA WATHIBITISHA KUUWAWA KWA OSAMA
Habari zilizo jiri hivi karibuni toka kundi la kigaidi la Al-Qaeda ni kwamba kiongozi wao Osama Bin Laden ni kweli ameuawa na Marekani nchini Pakistan eneo la Abbottabad.Habari hizo zimenaswa kwenye mtandao unaosadikika kutumiwa na kundi hilo wakidai shangwe za Marekani kwa kifo cha kiongozi wao kitageuka kua huzuni hivi karibuni.Hata hivyo kundi hilo limeahidi kuwepo kwa mashambulizi mapya kwa Marekani na washirika wake kusherekea miaka kumi ya mauaji ya 9/11 Marekani.Hio ni sambamba na kuishinikiza Pakistan kuandamana kwa kitendo cha Marekani kumuua Osama.
Katika upande mwingine Marekani imedai shambulizi la kumuua Osama limewawezesha kupata habari ambayo Osama ali rekodi siku chache baada ya kifo chake.Habari hio ilikua ni ya mashambulizi ya kulipua Reli na treni huko Marekani.
Kwa habari zaidi soma hapa: http://uk.news.yahoo.com/bin-laden-plotted-attack-us-trains-022222947.html
na hapa : http://news.sky.com/skynews/Home/World-News/Video---Osama-Bin-Laden-Barack-Obama-At-Ground-Zero-Amid-Pakistan-Compound-Raid-Story-Doubts/Article/201105115986145?lpos=World_News_Third_Home_Page_Article_Teaser_Region__4&lid=ARTICLE_15986145_Video_-_Osama_Bin_Laden%3A_Barack_Obama_At_Ground_Zero_Amid_Pakistan_Compound_Raid_Story_Doubts

04 May, 2011
03 May, 2011
NANI ALAUMIWE??
Hivi mwanafunzi kama huyu akifeli ata mlaumu nani?. kweli walimu wetu wana kazi kubwa sana kama mambo yenyewe ndio haya.Hivi kwani mtu huwezi zima simu ukiwa darasani ok, kuzima ngumu weka silent basi kwani simu kuita darasani mbali na kukupotezea muelekeo katika kipindi inaharibu utulivu na mwendelezo wa kipindi darasani.Mie naona wanafunzi wa aina hii aidha wanyang'anywe simu kama hawaweza fata masharti au watolewe nje ya darasa waka ongee vizuri huko nje kama simu ina umuhimu kuliko kipindi.
Ni wazi kwamba serikali haiwezi kufanya kila kitu kudhibiti maadili ya wanafunzi ila inawezekana kwa ushirikiano wa wazazi, walimu ama walezi.Kwa wazazi kama unamnunulia mtoto wako simu ni vema umwambie matumizi ya hio simu akiwa shule, kwa walimu ni vema kuwaambia au kuweka tangazo linalo zuia matumizi ya simu muda wa masomo au darasani.Pia wazazi tuwe karibu na watoto wetu kujua hata wanaishi vipi na shule wanaendeleaje,utakuta mtoto ana simu ambayo hata baba au mama hawana (nina maana ya Gharama sana) mnunuzi hajulikani na simu hio hutumika wakati wa shule na usiku nyumbani wakati hata wazazi hio namba hawaijui.
Kama wazazi tunajiweka mbali na watoto wetu wa shule basi hata wasipo faulu tusilalamike.Ijulikane kwamba kusoma inahitaji moyo na faraja ya wazazi ni muhimu katika masomo.Ni lazima mzazi ujue maendeleo ya mwanao angalau kwa kila muhula.Kwakuto fatilia maendeleo ya mwanafunzi ndio siku ya siku unakuta mtoto wako ni mvuta bangi tu shule inamboa haitaki tena, kafukuzwa ana mimba (kwa wasichana) au tu amekua mtoto aliyekosa maadili kwa namna zote.Zamani mtu anaweza sema hajui sasa haki elimu ndio hao wanafichua maovu mashuleni.Wazazi,Waalimu pamoja na Serikali ni lazima tuwajibike sehemu zinazo tuhusu.
Maadili Mashuleni (Kazi safi ya Haki Elimu)

SICK TUNES ONCE AGAIN
WARNING:Be advised that some songs in this list (hereunder) contain strong language!! i'm warning you!.
Auburn-la la la
Jeremiah ft 50 Cent-down on me
Chris Brown-Beautiful people
YC ft Racks-future
Auburn-la la la
Iyaz- island girls
Jeremiah ft 50 Cent-down on me
Chris Brown-Beautiful people
YC ft Racks-future
Wiz Khalifa-this plane
Waka Flocka- No Hands
NELLY-Just a dream
N Dubz-Girls (clean version)
Enrique Iglesias - One Day At A Time (feat. Akon)
02 May, 2011
BREAKING NEWS:OSAMA BIN LADEN IS NO MORE!!
Osama Bin Laden enzi za uhai wake.
Kiongozi namba moja wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda (pichani juu) Osama Bin Laden ameripotiwa kuuwawa na majeshi ya Marekani nchini Pakistan baada ya mapigano makali ya kurushiana risasi kabla ya kifo chake.Habari zilizo tapakaa mitandaoni zinathibitisha kifo cha Osama ikiwa ni baada ya taarifa ya ikulu ya Marekani kuthibitisha kifo hicho kupitia hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama ambaye amekaririwa akisema''to those families who have lost loved ones to Al-Qaeda's terror justice has been done''
Osama wakati akitafutwa kwa dili la dola million moja kwa atakaye mpata
Hata hivyo Rais Obama ame tahadharisha balozi zake zote duniani kuwa makini kwa sasa kwani kuna uwezekano wa washirika wa Osama kulipiza kisasi kufuatia kifo cha kiongozi wao. Osama amekua akitafutwa na Marekani kwa muda sasa kufuatia shambulizi la Sept 11,2001 huko New York na Washington ambapo watu karibia 3000 walipoteza maisha.Huko Marekani watu leo wanasherekea kifo cha Bin Laden kwa shangwe zote.Watu mbali mbali pia wamesema Al-Qaeda sio Osama pekee (lile ni kundi kubwa sana) kwahio kazi haijaisha.
Zaidi soma hapa:http://www.bbc.co.uk/news/world-us-canada-13256676
:http://latimesblogs.latimes.com/washington/2011/05/osama-bin-laden-dead-al-qaeda-islamabad-navy-seals.html
: http://www.guardian.co.uk/world/2011/may/02/osama-bin-laden-arab-reaction
:http://www.msnbc.msn.com/id/42852700/ns/world_news-south_and_central_asia/
01 May, 2011
GADDAFI SURVIVES NARROW ESCAPE
Colonel Gaddafi is reported to have survived a narrow escape from NATO airstrike leaving his youngest son (Saif al-Arab Gaddafi, 29 ) and three grand sons dead.The Libyan government spokesman ( Mussa ) said Gaddafi and his wife were present during the attack and survived unharmed.Moussa added that the attack is assumed 'a deliberate plan to assassinate Gaddafi.
On the other hand The Libyan government spokesman Mussa Ibrahim told a news conference. "We think now it is clear to everyone that what is happening in Libya has nothing to do with the protection of civilians''.Apparently NATO has denied targeting Gaddafi, or his family and apologies for any casualities.
The NATO's commander of Libya operations, Canadian Lieutenant-General Charles Bouchard, said the target was part of a strategy to hit command centres that threaten civilians."All NATO's targets are military in nature ... We do not target individuals," he said in a statement.
For more click here: http://thestar.com.my/news/story.asp?file=/2011/5/1/worldupdates/2011-05-01T085440Z_01_NOOTR_RTRMDNC_0_-566815-3&sec=Worldupdates and http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-13251601

UGANDA NAKO KUMEKUCHA,VICHAPO NJE NJE
Uganda nako shughuli ni watu na watu ndio hao wanapewa kichapo cha mbwa mwizi japo wanadai haki.Sasa sijajua huyu jamaa akija kuwa Rais siku moja atamfanya nini Museveni?! angalia video hapo chini polisi na wanajeshi walivyo mdhibiti kiongozi wa upinzani Dr Besigye. Shangingi wala halikusaidia kwani walivunja vioo vya gari lake na kumwagia maji yanayo sadikika kuwa na pili pili.Yaani combat ilikua unyama unyama!!
Dr Kizza Besigye akidhibitiwa na wanajeshi
Siasa za Africa zinataka moyo jamani duh! Angalia Video hii hapa chini jamaa (Dr Besigye) ana moyo sana na mvumilivu, hapa anaenda zake kazini na kakamatwa kama kibaka vile tena bara barani.Nadhani hapa ndipo vurugu zilipo pamba moto baada ya huyu kiongozi wa upinzani kukamatwa.
NTV

WIZI HUU SIJUI UTAISHA LINI!!!!
Hawa jamaa kweli wabunifu wa wizi yaani baada ya kututumia email nyingi kua tumeshinda mamilion ya pound au tuwasaidie kuhamisha mamilioni yaliyo kaa hayana mwenyewe kwahio tuwape majina yetu kamili,namba za simu,anuani zetu na kadhalika ili kujipatia vijisenti bure kabisa sasa wamekuja na hii:-
To apply for the Nigeria Social Insurance Trust Fund (NSITF) Recruitment 2011, Nigeria Navy, Standard Chartered Bank, International Breweries open for experienced and graduates trainees
visit: www.nigeriaonlinejobsapplication.co.cc TO APPLY
MTAKAO IBIWA HUKU MNAJUA HUU WIZI MITANDAONI SI VIBAYA MKATOA USHUHUDA ILI WATU WENGINE WAJUE KUNA WIZI WA NAMNA HII.MTAKAO TUMIWA UJUMBE KAMA HUO JUU PIA SI VIBAYA TUKAWASIKI, MIE NDIO NISHATUMIWA HIVO NA TITLE 'LATEST NIGERIA VACANCIES' SIO HUU TU KUNA WIZI MWINGINE KAMA WA KUJIFANYA WANANUNUA PAKA WA RANGI FULANI , HELA (COIN/NOTI ZA ZAMANI) HUO NI BAADHI YA UBUNIFU WA HAWA JAMAA AMBAO SASA WAPO DUNIA NZIMA WAKISAKA NOTI KWA NAMNA HALALI NA ISIYO KWAO NI MPAKA KIELEWEKE!!

TOKA ZE COMEDY ORIGINO MPAKA KUHUBIRI NENO LA MUNGU!!!
Video ya kwanza hapa chini inaonyesha 'Masanja Mkandamizaji' anakandamiza nini mimi sijui!! au jina halisi Emmanuel Mgaya akihubiri neno na kudai yeye kaokoka na wajanja wote wameokoka (ni kweli wajanja wote wameokoka mie sijui, wajanja ni akina nani pia sijui!,yule aliyekua pembeni yake wakati akihubiri pia simjui).Ila niseme tu ni mwanzo mzuri kwa wasanii kuokoka kwani wana nafasi ya juu kabisa ya kurubuniwa na shetani kutokana na kujulikana kwao kwa jamii hii itawasaidia kama kweli wana maanisha KUOKOKA ISIWE MWAVULI WA KUFICHIA MAOVU na NI LAZIMA WAO KAMA KIOO CHA JAMII WAWE MIFANO YA KWELI NA SI VINGINEVYO !!. (ni mtazamo tu)
Baada ya kusema hayo ningependa jamii yetu ya Kitanzania kujua maana halisi ya 'KUOKOKA'.kwa kusoma na kuelewa maandiko sio tu kuamini kila tunacho ambiwa ndio ipo siku tuje kuchomana moto eti mwisho wa dunia eti Mungu kasema!! Mfano Kibwetere wa Uganda alichoma moto kanisa ndani kukiwa na waumini!! kwakua watu waliamini kila alichosema hata waka kubali kuchomwa moto.Tusiwe wavivu wakusoma vitabu vya maandiko matakatifu.
.Mimi inapofika hatua ya kuongelea imani zetu huwa sina ubishi kwakua naamini kila mtu ana imani yake na Imani ya mtu ndio inatakayo muokoa.Kama mtu hana imani ni kazi bure kusema ameokoka,vivyo hivyo kama mtu una sali kanisa fulani ambalo unadhani ukiwa huko ndio umeokoka bila ya Imani hapo mtu unakua unapoteza muda wake bure.Au mtu kutumia kanisa fulani kama mwavuli wa kuficha maovu wakati ukweli ni kwamba umeoza!! Utakuja kuwa kuni za kuchomea wenzio huko eternal hell (kuzimu)
Nijuavyo mimi kama nilielewa vizuri mafundisho ya dini...Imani ya mtu huanza na kuamini uwepo wa Mungu na kukili imani yako kwa kinywa chako.Ni lazima uamini Mungu katika NENO LAKE (maandiko matakatifu) pia umtumikie ndipo udai wokovu wake kwa imani uliyokua nayo. ...na hapo ndipo nguvu ya Mungu itakuokoa, itakulinda, na kukuwezesha kuishi maisha mema katika yeye muweza wa yote.Ni lazima tutambue imani ya mtu haichezewi na ni vema na haki kuiheshimu.KUOKOKA KUNA MAANA KUBWA ZAIDI YA KUONGEA.....HATA HIVYO SINA MAANA WANAO SEMA WAMEOKOKA WANA TUDANGANYA ILA KAMA WANAONGEA WAKATI MOYONI WANAJUA SIO BASI WANAJIDANGANYA WENYEWE.WALIO OKOKA KWELI MUNGU AWAJALIE.
The Bible says: 'Our hearts are deceitful, we should not trust in our hearts (Jeremiah 17:9)
'There are false christs,false gospels,and false spirits ( I Corinthians 11:4)
So how can you be sure that you've heard of the true Gospel,received true christ and the true Holy Spirit??! Comrades we must be certain that our faith is THE TRUE FAITH IF AND ONLY IF BASED ON SCRIPTURE AND NOT THEM FALSE ONES BASED ON FEELINGS!!!
Angalia hizi Video hapa chini zinafundisha zaidi maana ya kuokoka
Subscribe to:
Posts (Atom)