04 May, 2011

ATI NINI??

2 comments:

Mwanasosholojia said...

Mmmh, kwa kweli hili suala bado lina kautata fulani pamoja na kwamba jamaa wanasema 99.9% aliyeuawa ni Osama. Vipi kuhusu uzikaji wa miili mingine ya waliouawa pamoja naye?Ina maana waliiacha tu mle mle kwenye makazi? Vijimaswali vinaibuka kila wakati

Rik Kilasi said...

Na sasa wanasema eti hata picha hawata onyesha eti wasije wakachochea chuki kwa wana Al-Qaeda kisa boss wao kauwawa yani mpaka sasa hatuna ushahidi wa kweli coz hata pics zilizo tapakaa wanasema ni fake sasa, waliahidi kuziachia baadae na sasa wanasema hawawezi so utata full...ila osama kama hawaja muua ataachia kitu cha video soon ngoja watulie tuone ila ina changanya sana kuhusu ukweli wa kuuwawa kwa osama.Na hata kama wamemuua hio haina maana ugaidi umeisha kuna vibaraka kibao ambavyo tutavisikia vimelipua huku na kule..tusubiri tuone