20 May, 2011

IKO WAPI HII??!

2 comments:

Subi said...

Ipo Dar Es salam, endo la Makumbusho, Kijitonyama, penye kituo cha daladala.

Rik Kilasi said...

hahaha Da Subi uko deep!!..well natamani kupaona live hapo mahali ndio nita ridhika (maana mie Tomaso lol)na huu ubunifu wa jina la pub sijui niseme sijauelewa au nimeukubali bila kuelewa? I'm confused! au ndo yale yale ya sisimizi kumpanda tembo? Anyways shukrani kwa kutembelea blog yetu pia kutujuza hapo mahali.cheers!