19 May, 2010

Namna ya kufukuzwa kazi kutumia facebook!!

Kwa wale waheshimiwa wafanya kazi hii imedaiwa kua ni njia moja wapo ya kufanya uachishwe kazi mara moja na kwa njia rahisi kabisa ya mtandao wa kijamii maarufu kama facebook. Kwa raha zako andika kama inavyoonyesha hapo tena bila kujali kwenye orodha ya marafiki yuko boss wako.kwani boss kitu gani hahahhahahaha lol! kweli dunia inaenda kubaya sasa kuna baadhi ya watu wanaita FAIL BOOK!!!!wewe je utaiitaje??Baadae nitawaletea wafanyakazi walio fukuzwa kwa sababu mbalimbali zilizo patikana na waajiri kupitia facebook.Kaa mkao wa kula, kibarua kitaota majani ushindwe wa kumlaumu.

No comments: