Kuangalia safari ya utamaduni wa ajabu kuelekea kusiko julikana bonyeeee icheze!!!
Mimi sijaelewa lengo la hii disco vumbi kama ni kufurahia au kufundisha utamaduni mpya kwa watoto? Au mimi ndio nimepitwa na fashion kama waosha vinywa wanavyoweza sema? Sidhani kama kuna maadili yoyote hapa by all means! Na hii haihitaji jitihada za serikali peke yake hata watu baki wanaweza kemea
No comments:
Post a Comment