06 April, 2011

SIKILIZA HII WAKATI TUNA TAFAKARI MWAKA WA VIKOMBE!!!

Sasa  dozi ni VIKOMBE VITATU  huko Njombe,Tafakari ya mwaka na haijawahia tokea Tanzania.Basi wakati tunatafakari VIKOMBE ambavyo mimi nafikiri ni Imani zaidi ndio huponya basi tusisahau na Burudani (wanasema raha jipe mwenyewe) lakini mara nyingine raha unapewa.Hii nyimbo ya Banana nimeipenda sana kama vipi isikilize ukiwa katika tafakari ya VIKOMBE LOLIONDO kwa Babu (500) ,MBEYA  kwa dogo (Bure) ,TABORA kwa mama (500) ,MOROGORO  kwa dada (200 /= hii nadhani ni sale itaisha.......!!!) NA SASA NI NJOMBE  Dr Mwandulami vikombe 3 bure ikthibitika inaponya utalipa.............???!!!.Big money!!!No comments: