17 March, 2011

UN YASHINDWA FIKIA MWAFAKA KUHUSU LIBYAUN


UN mpaka sasa imeshindwa kufikia muafaka kuhusiana na machafuko ya ksiasa nchini Libya.Hali hio imejionyesha baada ya baraza la usalama la umoja wa mataifa kumaliza kikao jumatano ya tar 16/03/2011 bila ya makubaliano dhidi hatua za kudhibiti ghasia zinazozidi kupamba moto mpaka hivi sasa. Wakati huo huo mtoto wa Gaddafi Seif al-Islam amesema ndani ya masaa 24 watakua wameshachukua jimbo lililo chini ya wapinzani (Benghazi)  na wapinzani hao wameambiwa waondoke Libya.
(Voice of America)

Yafuatayo ni maoni ya nchi baadhi toka baraza  la usalama l a umoja wa mataifa:
Ufaransa & Uingereza UN itumie   jeshi kuzuia machafuko Libya
Italia:Haitahusika kama jeshi litatumika kutuliza ghasia Libya
Slovania: Kuingia kijeshi Libya ni hatari zaidi
US: Tupo tayari kuingia kijeshi Libya kwa mgongo wa UN.
China:Kuingia kijeshi si haki

Kikao kingine  cha dharura  cha baraza hilo  kukaa leo Tar 17/03/2011     kujadili hitima ya ghasia  inchini Libya

No comments: