17 March, 2011

NANI HAPA KAIBA KWA MWENZIE??!


Kati ya Daddy Owen-Kupe De Kalle (Tobina) ft Kerah  hapa juu na
Coupe Decale (Alaji)  hapa chini nani kaiba au ni mixtape?.Nahio 'Tobina' ni Gospel na 'Alaji' ni dansi!!!..pamoja na hayo je nani unadhani kaitendea haki beat ya nyimbo hii? Mie naona wa 'Tobina' ndio zaidi japo wamejiachia kama dansi vile.Mwanzo nilipo sikiliza nikadhani ni dansi, mara ya pili ndio nika gundua ni Gospel baada ya kusikia ''ayo lele kuna moto, kuna waka kuna moto, yesu mwokozi'' Sikiliza na wewe.

No comments: