03 March, 2011

KUMBE WIZI WAHITAJI UBUNIFU MKUBWA KIASI HIKI?

I just hope this article will be useful to most people wale wanao tumia internet kwa namna moja ama nyingine.Kwa muda sasa nimekawia kutoa post yenye kuhusu athari mbali mbali while surfing on the internet.Lakini nimeona nirudi tena kwasababu ya umuhimu wa jambo lenyewe.Kama mtumiaji wa Internet ni lazima utambue athari hizo nakua makini wanapo tumia tekinolojia hii ya mtandao ambao kwasasa kuna wizi wa hali ya juu.

Pamoja na mimi mwenyewe kutumiwa meseji zisizo pungua 100 za kutatanisha kwa siku.Mfano wa email ni zle za ''umeshinda million moja pounds (£ au $) toka coca cola au British national lottery etc; au wanasema kuna pesa za urithi nisaidie kuziokoa bank ukiwa kama mdhamini wangu'' Baada ya ujumbe huo utaambiwa kuna percentage itakua yako ikiwa hiyo pesa itatoka.

Kuna pia mbinu kama hii mfano nimewaletea hapa chini ni kama vile ananitaka.Actually kuna email address moja ambayo siitumii officially huwa na reply hizi email nione reaction basi wanatuma picha za wasichana wazuri kunitega, mwisho wa siku anakwambia yuko mji jirani na unako ishi yuko stranded mtumie pesa kidogo ili aje kukutembelea kwani pesa imemuishia.Sasa huyu mtu kwakua kuna google translator amediliki kutumia google translation ya barua ya kiingereza kwenda kiswahili just because anajua natumia kiswahili ili anipate.Bahati mbaya amelamba jokeri.

So tuwe makini usidhani ndio bahati imekudondokea utaibiwaaa!!.Kuna wale tunaopenda nunua magari na vitu vingine online
KUWENI MAKINI NA KAMPUNI UNAYO NUNUA, KUNA KAMPUNI NYINGI FAKE ZIPO ONLINE NA HAZINA PHYSICAL OFFICE AND ALL TRANSACTIONS ZIPO ONLINE.ZINA FULL CONTACT ADDRESS LAKINI NO FACE TO FACE TRANSACTION.MPAKA SASA NIMEOKOA WATU ZAIDI YA 10 AMBAO TRANSACTION ZAO ZILIKUA FAKE NA AT LEAST WOTE WALIKUA LAST STAGE YA PAYMENT THROUGH BANK CARDS (INTERNET BANKING).MFANO MTU ANASEMA ANAUZA GARI HALAFU CONTACT NI VIA EMAILS PEKE YAKE HIO JUA FAKE STRAIGHT AWAY. NITALETA TRICKS NYINGINE PUNDE.

MOJA NILIYOTUMIWA MIMI HII HAPA:

Hi! Mimi ni miss Lisa
jinsi wewe! matumaini wewe ni faini na katika hali ya ukamilifu wa health.I safari kwa kupitia profile yako juu (dinahicious.blogspot.com) na i kusoma na kuchukua riba juu yake, kama huna akili i kama wewe kuwasiliana na mimi kwenye hii ID (lisa.samuel1@yahoo.com) ili kwamba naweza kukutumia picha yangu OK matumaini ya kusikia kutoka kwenu hivi karibuni, nami kuwa kusubiri kwa barua yako kwa sababu labda tunaweza kuwa rafiki mwema anyway i nitakuambia zaidi wakati wasiliana nami kwenye email yangu lisa.samuel1@yahoo.com

my Language is English====================

Hi! I am miss Lisa
how are you! hope you are fine and in perfect condition of health.I went through your profile on (dinahicious.blogspot.com) and i read it and took interest on it, if you don't mind i will like you to contact me on this ID (lisa.samuel1@yahoo.com) so that i can send you my photo OK hope to hear from you soon, I will be waiting for your mail because maybe we can be a good friend anyway i will tell you more when you contact me on my email lisa.samuel1@yahoo.com

2 comments:

Anonymous said...

man that was a good one..really

Rik Kilasi said...

Thanks for appreciation and ofcourse for perusing 'The Network'.Welcome again sir/madame!