23 February, 2011

Mtoto apewa jina 'Facebook' huko Egypt

Mtoto mmoja ambaye kazaliwa hivi karibuni inchini Misri (Egypt) kapewa jina la 'Facebook' na wazazi wake ikiwa ni kumbukumbu ya mchango wa mtandao wa kijamii wa facebook kusaidia kusambaza habari nchini Misri na hata kufanikiwa kuung'oa utawala wa muda mrefu wa Hosni Mubaraka.

Soma zaidi hapa: http://www.digitaljournal.com/article/303954

No comments: