21 December, 2010

Habari ndio hii xmas Eve-Coventry


2 comments:

EVARIST said...

Salama mkuu,
Vipi mbona kimya?Napita hapa mara kwa mara lakini naona hujatuwekea habari mpya.I hope you'll be back to business soon.
All the best

Rik Kilasi said...

Kaka kwanza nikushukuru kwa kupita hapa mara kwa mara, pili nashukuru kwa salamu pamoja na kujali kwako. Ni kweli nipo kimya muda kutokana na muingiliano wa mambo ya hapa na pale ikiwemo kuumwa ila nitakua hewani si muda. Mungu akubariki sana kaka Evarist