10 September, 2010

Kimya changu....

Poleni wasomaji wa The Network/rijaki popote mlipo kwani nimekua kimya kwa muda mrefu lakini ni kutokana na kufiwa na baba yangu mzazi mnamo tar.3/9/2010.Kwahio ukimya huo umetokana na pilika hizo.Kwasasa niko Tanzania-Dar es salaam napatikana kwa simu 0658222523.Wanafunzi mnaotaka soma UK au wanaotaka magari toka UK mnaweza nicheki kwa simu hio kabla sijarudi UK.

6 comments:

Anonymous said...

Pole Rikard,

Vipi hujarudi tuu UK?

Rik Kilasi said...

Asante sana mkuu nishapoa mbona hujaacha jina lol, well yeah nisharudi tayari.\mambo zaidi?/mpya?

Anonymous said...

haaaaa, unaniona mimi mkuu eeh!1

my name is h....y, op u undrstnd

Anonymous said...

Pole kwa msiba bro.Mathias Lalika.

Rik Kilasi said...

Asante sana Mathias kazi Ya Mungu si wajua haina makosa, yeye anatoa na kutwaa.pa1 mkuu

Anonymous said...

Hello Thank you! I always wanted to write in my site something like that. Can I take part of your post to my blog?