24 August, 2010

Katuni ya leo

Hapa nani kashinda wadau hahahaha! Kama mambo yenyewe ndio haya gonjwa la UKIMWI tunalikaribisha nyumbani kwetu kwa nguvu zote na mwisho wa siku tuanze kuulizana nani kauleta.Ungejibu nini kama swali kama hilo linakutokea??

1 comment:

Anonymous said...

hili ni tataizo tena linaweza kuzua janga kubwa sana..... sasa kama ni wewe ungefaanya nn??