30 June, 2010

Mjue demu wa Jaffarai....hahahahah

Huyu ndio demu wa Jaffarai yaani sina mbavu dakika ya 1:28-30 na 1:52.yeye anasema hata akitumia hela kibao kwa 'huyo demu wake' hakuna noma na haoni shida. Je wangapi tuna mademu wa hivi? Je ni kweli ukiwa na demu unakua stress free? Na je pombe inafaa kufananishwa na demu? Kama jibu ni hapana toa sababu za msingi na Kama jibu ni ndio, je ni kweli kwamba inaondoa stress kama wengi wanao kunywa na kusema wanaondoa stress?

object width="480" height="385">

No comments: