11 April, 2010

kichina china hapa!!

Katika shughuli/mpango mzima wakuongeza nanihii aka ndombolo kwakutumia teknolojia ya wale jamaa zetu wachina basi matokeo yake baadhi ndio kama haya. Ni vizuri watu kuchukua tahadhari unapo tumia madawa hayo ya kuongeza nanihii. Nasema hivo kwasababu mtaka yote siku zote hukosa yote.Pamoja na habari hii kuna waume kwa wanawake wengi ambao wamekwisha tumia hizi dawa za jamaa zetu wachina na wengine kwa lengo la kuongeza nanilii ila matokeo yake si kama walivyotaka. Mfano kuna mwanaume ambaye alikua na nanihii ndogo kakimbiwa sana na wake kwa udogo wa nanihii yake akaona suluhisho ni mchina matokea nanihii ilikua kubwa kupita size za kawaida kwahio akaanza kukimbiwa kwa ukubwa wa mzigo.

Hali kadhalika wanawake waliotaka kuongeza kidogo ndombolo/makalio waliharibikiwa na shepu na mpango mzima makalioni kwani panaweza ongezeka ambapo hapatakiwi hivo kuharibu mpango mzima wa eneo hilo.Tuwe makini na hizo dawa vinginevyo ukiwa kama hawa usimlaumu mtu kwani ni uamuzi wako kumkosoa muumba!.
1 comment:

Anonymous said...

hizi dawa za kchina kazi kweli kweli, zinaweza kukufanya ukaonekana katuni kinyume na mategemeo yako.
Ila swala langu ni moja tu, vipi serikali zinaruhusu hizi PRODUCTs ziingine ndani ya nchi ikiwa zina madhara?? nadahni tunatakiwa kuwa makini sana,ulafi wa mtu mmoja, kikundi fulani cha watu kisitumalize kiasi hiki? kawa maana huu ni ulafi wa hela tuu, hata hizi dawa zinauzwa holela,Umeona wapi dawa inatolewa bila ushauri wa Daktari?? WIZI MTUPU, Jamani serikali IKO WAPI???