17 February, 2010

kazi nzuri wadau mnaonaje?

I really like the way this man does kwenye music industry, kwa yeyote ambaye ni mfuatiliaji mzuri wa Ali toka aanze music atakubaliana na mimi kwamba kijana ana hasira na mafanikio kupitia nyanja ya music na yuko siriaz katika hilo. Ofcoz music ni elimu na burudani ambavyo kwa uwezo wake kajitahidi kwa kiasi kikubwa. Binafsi among the songs that rocks me very well ni hii hapa ''Mali yangu'' yaani ni nice message, super video of all he has so to speak ''according to me''. Ana stahili sifa kama sio misifa the man himself Ali Kiba japo namshauri asilewe sifa ili libeneke liendelee kua hot. Congrats sana bro nadhani hii ni moja ya burudani watu wanategemea kupata liveeee ijumaa hii ya february 19 paleeeeeeeeeeeee Palms - Coventry City-UK. Tujiunge--->>>>>>>>>>>>>>>>
-----------------------------------------------------No comments: