17 February, 2010

Burudani yasogea Coventry na Ali Kiba this friday!!!

Nimekua nikidadisi sana watu wengi wamesikika wakisema Ali kiba hajawahi kufanya show Coventry kama ilivyo miji mingine ambayo hata uki-google unapata sehemu kibao ambazo Ali kafanya show in the UK  Mfano Reading, Leicester, London, Milton Keynes, Manchester, Bristol n.k. Kama zali this time wana cove watapata rubudani kem kem toka kwa kijana mahili kwa show za nguvu. Nasema show za nguvu kwani kuna wadau ambao katika ku-support libeneke hilo wameweza kuhudhuria  show zake karibu zote zilizofanyika miji mingine. Ni jambo jema kama watu tunakua wa zalendo japo kwa muziki toka nyumbani Tanzania japo kumekua na tetesi baadhi ya show walijaa wakenya! hehehe ni jambo zuri  though coz kijana anawakilisha East Africa na pengine ni kijana mdogo kuongoza kwa kufanya show nje ya Tanzania kimuziki maarufu kama bongo flava.Binafsi nimeshindwa kushangaa baada ya kuona hio advert ila ndo imekua wadau kazi kwenu na tuonane huko. Natumaini waliokua wakisema ana perform mbali na miji yao including coventry sasa hawatakua na sababu.No comments: