24 September, 2015

WATU ZAIDI YA 700 WAHOFIWA KUFA HIJA MECCA LEO

 Watu zaidi ya 700  waliokua katika Hija huko Falme za kiarabu (Saudi Arabia) mji wa Mecca wahofiwa kufa mapema leo.Habari zilizojiri ni kwamba kulikua na mkusanyiko wa watu takribani Millioni mbili (2M) waliokua Hija. Mapema leo wakiwa wanaelekea eneo ambalo limetengwa maalum na hua wanaenda kurusha mawe kuashiria  kumpiga shetani. 

Wakiwa katika harakati za kufika eneo la tukio walijikuta  wanakutana na wimbi la watu waliokua wakielekea upande walikotoka. Hio ilisababisha kitu kama wimbi la kusukumana wengine kuanguka na kukanyagwa hadi kufa na wengine kukosa hewa. Zaidi SOMA HAPA

SOURCE:YAHOO NEWS Click here for details

No comments: