07 October, 2012

TANGAZA BIASHARA YAKO KIMATAIFA BURE!!!


Ukitaka tangaza biashara yako bure mcheki mdau kama anavo eleza hapa chini
Website http://www.absolutelyawesomethings.com/   inayomilikiwa na kuandikwa na Mtanzania hapa Newyork inatoa offer kwa Mtanzania mahali popote alipo duniani kutangaza biashara/sanaa yake katika website hiyo. Matangazo yatawekwa kwenye website kwa muda wa mwezi mzima, kuanzia  leo tarehe 5/10/2012 mpaka 5/11/2012. Kama wewe ni Mtanzania  na

1. unaduka lililosajiliwa online na unapenda kuitangaza biashara yako au

2. una sanaa ambayo unaifanya mwenye ungependa

 kuitangaza kimataifa.
 wasiliana nami kwa email sophie@absolutelyawesomethings.com.
Hii ni  kutoa shukrani na vilevile kuwapromote wazawa kimataifa kwa juhudi zao wanazozifanya.

5 comments:

absolutelyawesomethings said...

Rik asante sana kwa kutoa tangazo.Ubarikiwe.

Rik Kilasi said...

Karibu sana absolutelyawesomethings

Anonymous said...

samahani sana je hiko chuo cha uk ada yao ni ngapi na certificated wanachukua

Rik Kilasi said...

Anon ada za chuo zinategemea na kozi ambayo wataka soma.sijaelewa hiyo ya certificate, ninachojua ni kwamba kila kozi ina masharti yake ili uweze kujiunga!

Anonymous said...

Hello,

Je kama nina biashara yangu, mfano natengeneza kadi za mialiko ya sherehe mbalimbali, naweza kutangaza kwenu? Na je nafanyaje? Is it completely free?