30 November, 2011

HAPO VIPI WENYE VIDUMU??

Aslay - Nakusemea.2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda sijui akiana baba watajirekebisha ...Hapa kuna mafundisho yake na yasemwayo ni kweli kuna akina baba nyumbani kuna njaa yeye anajichana huko nje na kimwana wake...kaazi kwelikweli

Rik Kilasi said...

Da Yasinta siku hizi si haki sawa ama? so kujirekebisha kupo pande zote coz kote siku hz kuna vidumu japo si wote katika ndoa wana vidumu ila vipo umefika wakati wakujirekebisha maana kujichana nje ndo kubomoa ndoa bila sababu ya msingi.Ni kazi kweli maana heshima ya ndoa inapungua siku hadi siku