30 August, 2011

EID MUBARAK WADAU WOTE POPOTE MLIPOSINA MENGI KWA LEO NIWATAKIE TU EID NJEMA MSHEREKEE KWA UPENDO NA AMANI,MSISAHAU KUOMBEA WAGONJWA, KUSAIDIA WENYE SHIDA,MASIKINI,YATIMA WENYE NJAA N.K.KIBARAZA HIKI KINAWATAKIA KUSHEREKEA VYEMA MWISHO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Eid Njema kwa wote!!

Rik Kilasi said...

Asante Dada Yasinta na wewe pia bila kusahau wadau wote popote walipo!