10 June, 2011

Maisha Ni Foleni by musema kweli

2 comments:

Anonymous said...

asante kaka kwakutuwekea hu wimbo wa bonny mwaitege kwani nilikuwa nakiu ya kusikiliza wimbo mpya wa mwaitege pls kama utakuwa na nyimbo zingine mpya naomba utuwekee maana nyimbo zake zazamani nimeshawahi kusikiliza zote nilikuwa na subiri wimbo mpya kwa hamu sana huyu kaka anaimba sio mchezo aste kwa kutuwekee hii video ubarikiwe sana

Rik Kilasi said...

sawa anon wa 17:19 bila shaka nikizipata nitaziweka hapa mwenyewe napenda sana nyimbo zake zina ujumbe mzuri. Ubarikiwe pia!