22 February, 2011

Gaddafi Akanusha kutoweka Libya.


Gaddafi akikanusha kuikimbia Libya (picha toka msnbc)

Mkuu wa nchi ya Libya akanusha kutoweka nchini humo na kusema yupo ila mvua inamzuia kuongea na wananchi.Amekaririwa akisema "I am in Tripoli and not in Venezuela. Don't believe those misleading dog stations," he said, referring to media reports that he had left the country.
Zaidi soma hapa:
http://www.msnbc.msn.com/id/41700027/ns/world_news-mideast/n_africa/

Pia imeripotiwa kuwa ndege mbili za kivita za Libya zimetua kisiwa cha malta baada ya marubani wa ndege hizo kukaidi maagizo kutumia ndege hizo kushambulia waandamanaji nchi humo.Marubani hao ambao wametua Malta kuomba hifadhi ya muda wamekaririwa kuomba kutua kisiwani humo kwa sababu 2, kuomba hifadhi pamoja na kujaza mafuta.


Libyan F1 Fighter jets in Malta International Airport

Marubani hao bado wanaisaidia polisi kwa habari na maelezo zaidi.Pia imedaiwa kuwepo kwa helicopter mbili zilizotua Malta kwa dharura ya msaada zikiwa na raia 7 wa ufaransa.

Zaidi soma hapa:
>>http://www.timesofmalta.com/articles/view/20110221/local/two-libyan-fighter-jets-arrive-in-malta-two-helicopters-land
>>http://www.timesofmalta.com/articles/view/20110221/local/two-libyan-fighter-jets-arrive-in-malta-two-helicopters-land
>>http://www.boingboing.net/2011/02/21/mystery-behind-two-l.html

No comments: