06 July, 2010

Nauliza hivi.......

Kuna penzi la mbali? Nina maana 'penzi la dhati' la mbali.Mfano mke yuko anaishi Africa na mume yuko Ulaya.Mimi naona ni sawa na kujaribu kula ugali kwa picha ya samaki!!!.Wewe je unadhani inawezekana? Kama ndio twambie kwanini na kivipi!

Hapa Big Sylla Ft Ali Kiba And Mr Mim wenyewe wanasema 'Penzi La Mbali......' shuka nayo hapo chini uwasikie mwenyewe!

1 comment:

Anonymous said...

inawezekana kija, inategemea mnaheshimiana kiasi gani,kujitunza tu kwa ajili ya mwenzio. SIku zote heshima ndio silaha ya maangamizi.