26 June, 2010

Ingekua vipi.....

je uko tayari kua kama huyu responsible father? je ndugu, jamaa na marafiki wakikuona uko hivi watasemaje? Limbwata? je ni vibaya kumsaidia wife kama hivi? Mimi naona hii too much hata kama kazi kusaidiana home.Yani nioshe vyombo na mtoto mgongoni tena pengine wife anaangalia TV!!! Sijaoa bado lakini nadhani hii haijakaa sawa. siwezi osha vyombo na mtoto mgongoni na wife anaangalia TV... wewe unaonaje hii?

No comments: