06 May, 2010

Nilihisi masikio yanakosea kusikia...

Ngoja nicheke kwanza (hahahhahahhahaha uwiiiii) leo nimekutana na hii na mdhungu:-

Me: hello!
Mdhungu: hi, you alright?
Me: yeah I’m good thanks!
Mdhungu: how is your day…..busy?
Me: I’m always busy sir
Mdhungu: ok… you must be a hard working man
Me: Exactly (I laughed a bit lol)
Mdhungu: are you from Africa?
Me: yes
Mdhungu: who is the president of Africa?
Me: I was like…F**** hell, say it again (I pretended not to have heard the question very well)
Mdhungu: I said who is the president of Africa?
Me: Africa is not a country …Is a continent man (lol)
Mdhungu: really? Well ermm is there houses?
Me: (I wanted to say NO basi tu) yes better than those we’ve here
Mdhungu: No it cannot be possible, a friend of mine told me is just like a forest
Me: google it you will see….
Mdhungu: ok
Me: have you ever been outside UK?
Mdhungu: No, I can’t afford going anywhere may be Spain
Me: hahahaha ok

Yani mie sijawahi fikiria kuna wazungu wajinga kiasi hiki,mtu anajua Africa ni nchi??? Cha ajabu zaid hata haamini kama kuna Mungu duh. Ivi hawa wazungu/watu weupe si ndio walileta dini ya kanisani na misikitini kulikoni wao wanaikacha sasa hivi? Kweli duniani kuna mambo yani sikua na mbavu na huyo mzungu. Ila katika kuongea na wazungu mbalimbali inaonyesha wazungu ambao hawaja wahi toka nje ya UK ni wabaguzi kidogo

2 comments:

Candy1 said...

I AM PROUD OF MY NATION AFRICA!!! oops I mean "CONTINENT"....mbona hata Bush said "Nation" once lol...waelimishwe wataelewa...huyo umeshamuona hata nje ya UK hajatoka so wot do u expect! hahaha..."president of Africa"...freakin hell man

Rijakis said...

yaani hayasemeki hawa watu ukimuona utadhani ni boss wa ukweli hehehheh lakini mukichwa hakuna kitu colour tu ina m-favour lol.Na wewe kukosea kosea huko utajikuta unasema ni nchi ya Africa.... well with time if at all they decide to unite and make the United States of Africa (USA) usemi wao utakua sahihi japo hata dalili ya muungano kama huo hakuna ila tu power mongering tu lol!