16 May, 2010

Hesabu za ajabu!!!!!!!!!!

Kama Hesabu zenyewe ndio hizi kuna haja ya kufuta zisiwepo kabisa hahahahaha japo tumaneno tunaonekana tuna ukweli ndani yake lol! sasa sijui ukweli uko wapi.Hebu tazama jamaa alivyo kokotoa DADA ZETU hapo halafu nipe comment ukweli wa maneno ukoje.Nimeona si vibaya kusikia maoni ya wengine kuhusiana na ujumbe uliomo kwenye hesabu ya ajabu kabisa kama inavyo onekana hapo. Hii naifananisha na ile mtu anaye kunywa (mnywaji wa pombe aka mlevi) ukimwambia bei ya kitu fulani anaanza kutoa comparison na bei ya pombe. Mfano ukisema mkanda wa suruali unauzwa Tshs 4000/= yeye atasema, haaaaa 4000/= yote hiyo unajua hapo nisawa na beer ngapi? hahahahaha. sasa nimeshindwa kuelewa hii mwana mahesabu ana maanisha nini...toa maoni yako tafadhali yani mie huku sina mbavu lol!No comments: