tag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post3378609247722722634..comments2023-10-29T07:52:04.173+00:00Comments on The Network: HIVI KWELI MAPENZI SUMU?Rik Kilasihttp://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-78735775450803424472011-08-17T01:25:56.017+01:002011-08-17T01:25:56.017+01:00Nadhani upo sawa Mr Simaya swala zima la mapenzi y...Nadhani upo sawa Mr Simaya swala zima la mapenzi ya kweli kwa hali yasasa bado ni kitendawili wengi tunatamaniana tu na kudhani tunaweza ishi wote.Kuna watu wanaangalia mali,uzuri bila kujali tabia za mtu kwakujipa moyo labda 'atabadirika' (kama ana tabia mbovu) si wote wanaweza badirika

Nadhani ifikie wakati watu wajue mwenza wa kuoa/kuolewa naye lazima awe ni mwenye asilimia kubwa ya kuendana na mapungufu yake na si vinginevyo.Kupuuzia haya au kusema ngoja nikajaribu unaweza jikuta unajaribu watu kibao na umri unaenda na kila mtu atakuaona huna maana na hujatulia.Mbali na hilo kuna magonjwa yamezagaa,kwahio ni vizuri kuchagua aliye sahihi ili usijutie uamuzi wako hapo baadae japo hili zoezi ni gumu tukikumbuka kwamba tabia za binadamu hubadirika kuendana na mazingira na tukio kwahio inakua ngumu kumjua nani anaigiza na nani mkweli cha msingi ni kumshirikisha tu Mungu katika mchakato mzima wa kusaka mwenza wa ukweli sio muigizaji kwani sasa yanageuka kua maigizo vile japo si kwa wote!Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-271714229837348193.post-22471186985753670382011-08-16T22:56:04.393+01:002011-08-16T22:56:04.393+01:00Wazee wetu wa jadi walifurahia mahusiano yao, na w...Wazee wetu wa jadi walifurahia mahusiano yao, na waliweza kuishi miaka mingi katika ndoa,... Ijapo kuwa sewezi kuhitimisha kwakusema hawakuwa na matatizo.Swali tulanalofaa kujiuliza ni kwa nini hawa wenzetu waliweza kukabiriana na karaha zote za mapenzi..
Jibu nadhani ni rahisi.. safari ya mapenzi, inahitaji upendo wa dhati..sio kudanganyana kati ya wapendanao, uvumilivu..hapa tunafaa kukumbuka kwamba sisi sote ni binadamu... we are prone to mistakes .. kukaa chini na kutafakari ni mambo yapi yanayoharibu mahusiano kati ya wawili wanaopendana na hatimaye kukubali kuwa na kiongozi katika ndoa,... jamani kama hutatuweza kufanya hivyo basi Goriati wa mapenzi hutuwezi kupambana naye..
Yakhe mmoja aliamba..'Nyakati hizi tuishizo sasa.. mwanzo wa mapenzi huwa ni mtamu kama asali... katikati ya mapenzi huwa ni mtamu kama limao...lakini mwisho wa mapenzi huwa mchungu kama shubiri (sumu ya mapenzi)
Hii ni kwa sababu watu siku hizi hawana nyenzo sahihi za kukabiriana na tatizo hili...H. J. Simayahttps://www.blogger.com/profile/11893351930343863269noreply@blogger.com